Kilimanjaro vipi jamani?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimanjaro vipi jamani?!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Raia Fulani, Oct 31, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Tunaomba takwimu za home sweet home jamaniii!
   
 2. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mie sikubaliani kabisa na Mtangazaji wa ITV kutoka mwanga nilkuwa huko kama week tatu kumpeleka Mke wangu kuwasalimia wazazi wao.

  1: barabara za mwanga mlimani(Usangi na Ugweno) ni nzima hata kama mvua imeneyesha vipi na kipindi hiki mvua hakuna kubwa sana kiasikwamba wasihesabu kura na kuzifuata.

  ITV kuweni makini sana taaarifa mletewazo na hao watangazaji wenu wawe wadadisi pia kutoka kwa wasimamizi wa kura kuna maeneo mengine haiwezekani matokeo yatolewe saa 7 usiku na tumesikia ati arumeru mashariki na magharibi nao matokeo mpaka usiku saa 7. jamani mmmmh hapa mbona natia shaka kabisaa, kumbukeni tunaijua geographia jamani ya miji mingine turisha soma huko na kukaa pia

   
 3. Pelosi

  Pelosi Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kweli hilo linatia shaka
   
 4. B

  Babasean Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutoka Usangi na Ugweni kuja Mwanga mjini ni kama Km20 hivi. barabara inapitika kabisa, hakuna shida yoyote. isipokuwa tu wakati wa mvua barabara huwa inasumbua hasa kipande cha kuelekea Usangi.

  Rombo tunakimbiza kwa mbali sana tukifuatiwa na CCM
  Moshi Mjini tunaongoza katika kata zaidi ya 10
  Hai tumeshachukua jimbo
   
 5. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Kaka nakuambia hili ni la ukweli nilikwenda na gari ndogo zamani sana tena wakati wa mvua ikinyesha na sikuwa na tatizo kule vuagha hii majuzi 3 weekx nilikuta wanatengeneza barabara nzuri kabisa na hakuna mvua ya kuharibu barabara kaka hamini hilo, huyo mtangazaji wa ITV asiwapotezeee watu na huyo msimamizi jamani tuache longo longo km20 kweli land Cruser yaho mbona yanapanda faster tuu

   
Loading...