KILIMANJARO: Ugonjwa wa Kipindupindu walipuka, watu 26 walazwa

Mkuu wa mkoa ndio kawatuma ndugu zako wawe wachafu?

Hamasisha ndugu zako waache uchafu.

Kipindupindu ni ishara kwamba watu wamekula kinyesi.

Poleni sana wajomba zangu, Mungu awape afya waathirika afya zao ziimarike.
unaongea pumba Mkuu,? ulisikiA lini Kilimanjaro kuna uchafu? Kilimanjaro ndio ngome ya usafi miaka nenda rudi,ndio ulaya ya tz
rudia kusoma post usikurupuke,hao wagonjwa ni kutoka simanjiro wamekujA kutibiwa Kilimanjaro na sii wana Kilimanjaro
siku nyingine usirudie kuandika upuuz nimekusitiri tu
 
Duh. Nilidhani ni Rombo
unaifahamu rombo vizuri? lami kila kona,huduma zote za jamii ,99% migorofa tele migombn
biashara kubwa kubwa refer tarakea,holili
Kilimanjaro ni ulaya ndogo ya tz,hii ya kipindupindu ni wagonjwa kutoka simanjiro wameletwa kutibiwa Kilimanjaro na sio wana Kilimanjaro wameugua
 
unaongea pumba Mkuu,? ulisikiA lini Kilimanjaro kuna uchafu? Kilimanjaro ndio ngome ya usafi miaka nenda rudi,ndio ulaya ya tz
rudia kusoma post usikurupuke,hao wagonjwa ni kutoka simanjiro wamekujA kutibiwa Kilimanjaro na sii wana Kilimanjaro
siku nyingine usirudie kuandika upuuz nimekusitiri tu
Uncle labda kama hujui kusoma.
Soma post mpaka mwisho.

Acheni kuwasingiza Manyara mjomba. Kipindupindu kipo kwenu mmekipata kwenye mbege.

Kwani huko manyara hakuna hospitali?

Zakuambiwa nawe changanya na zako.
 
mjomba,rudia kusoma post "wagonjwa ni kutokA simanjiro"
kuhusu Hosp
unajua location ya simanjiro? MTU anakaa engasument Hosp ya wilaya IPO terat km karibu 200 Ataachaje kukimbilia Kilimanjaro kutibiwa?
Kilimanjaro mahospitali ni mengi hadi yanakosa wagonjwa
 
Uncle labda kama hujui kusoma.
Soma post mpaka mwisho.

Acheni kuwasingiza Manyara mjomba. Kipindupindu kipo kwenu mmekipata kwenye mbege.

Kwani huko manyara hakuna hospitali?

Zakuambiwa nawe changanya na zako.
Simanjiro ipo Mkoa gani?
 
Mkuu wa mkoa must step down! Alikuwa wapi Hadi kipindupindu kinatokea?
Wakati kilimanjaro ilikuwa chini ya CCM kulikuwa hamna kipindupindu toka chadema washike watu wanaharisha kila kona.Chadema ndio wameleta kipindupindu.Mbowe ajiuzulu
 
Wakati kilimanjaro ilikuwa chini ya CCM kulikuwa hamna kipindupindu toka chadema washike watu wanaharisha kila kona.Chadema ndio wameleta kipindupindu.Mbowe ajiuzulu
kilAzA wewe ccm ilikuwa lini
kilmnjaro,? Mara ya mwisho ccm kuonekana Kilimanjaro ilikuwA 1994
soma vizuri post wagonjwa ni kutoka simanjiro ila wamekuja kutibiwa Kilimanjaro
unadhan Kilimanjaro n wachafu kama kwenu ikwiriri?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom