Kilimanjaro: Tembo wazuia wanafunzi kwenda shule

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Mkongea na Shule ya Sekondari Kwangu, zilizopo Kata ya Kwakoa wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, wameshindwa kwenda shule baada ya kuzuiwa njiani na kundi la Tembo zaidi ya 90.

WATOTO KUKWAMA WEB.jpg

Baadhi ya wanafunzi waliokwama kwenda shule sababu ya Tembo wilayani Mwanga
Hayo yamebainishwa hii leo Septemba 27, 2021, na Diwani wa Kata ya Kwakoa, Kiende Mvungi, ambapo amesema uwepo wa Tembo kwenye Kata hiyo umechangia hali ya usalama wa wanafunzi kuzorota, pamoja na shughuli za kilimo kusimama kwa zaidi ya misimu mitatu.


EATV
 
Sasa hivi Tembo wameongezeka sana nchi nzima,nadhani tuko vizuri kwenye kuzitunza rasilimali zetu...
 
Back
Top Bottom