Mpaka saiv ni mapumziko kil stars imesha wapodoza gol 1 wanyarwanda amir kiemba.
Mpaka saiv ni mapumziko kil stars imesha wapodoza gol 1 wanyarwanda amir kiemba.
Jamani pia goal.com pitia pale umpigie kura Mrisho Ngasa kwenye goal of the week kwani anapambanishwa na kina Cr7,Michu
Kil 2 rwanda 0. boko
Mechi imeisha Rwanda 0 vs Tanzania (Kilimanjaro Stars 2).....source.LiveScoreHunter - Live Results, Live Scores, Live Streaming Video, P2P Links, Scoreboards, Live Tickers, LiveScore - Football
Shime Kilimanjaro stars. Kila la heri Nusu fainali CECAFA(Challenge Cup)-2012, Uganda.
Mimi huwa naamini kili Stars ni bora zaidi ya Taifa Stars yaani kama vile wazenji wanatuwekeaga gundu.
Jamani pia goal.com pitia pale umpigie kura Mrisho Ngasa kwenye goal of the week kwani anapambanishwa na kina Cr7,Michu