Kilimanjaro stars

Vidar

Member
Dec 2, 2012
43
5
Mpaka saiv ni mapumziko kil stars imesha wapodoza gol 1 wanyarwanda amir kiemba.
 
Jamani pia goal.com pitia pale umpigie kura Mrisho Ngasa kwenye goal of the week kwani anapambanishwa na kina Cr7,Michu
 
Dak.90 bado ni 0-2 -> Rwanda vs. Tanzania(Kilimanjaro Stars). Umebaki muda wa nyongeza.
 
Waridi nimeshindwa weka link ila nenda goal.com naona jamaa zimeongezeka within minutes imefika 9.3%
 
Last edited by a moderator:
Sasa nimetambua kwamba tunaweza kufika mbali,Hasa nikikumbuka Sudani 2-0,Somalia 7-0 na sasa Wanyarwanda.Ukizingatia kwamba timu zote hizi ziko juu kiviwango vya soka vya FIFA ukiondoa Somalia.Ahsante mkuu endelea kutujuza wengine tuko mahali ambako hatuna access ya Runinga wala redio.
 
Back
Top Bottom