Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,599
mpira umekwisha na kili stars wameshinda kwa goli moja ambalo limefungwa na Nsajigwa
Hureeeeeeeeeee Tanzania
Hureeeeeeeeeee Tanzania
FUSO ametutoa tulikuwa na ukame toka 1994
Jk alikuwepo?maximo alikua hana jipya kama vile ccm haina jipya kwa watanganyika
JK alikuwepo..nilidhani wasingeshida kwa sabab ya yeye kuwepo
Umeona mkuu!!! yaani kaseja ni lulu. juzi kapangua penati na ndio maana leo hii tunashangilia huu ushindi. angekuwepo maximo kaseja asingecheza, hivyo ile penati isingezuiliwa...afazali maximo hayupo..tutaendelea kushinda!!!Hongereni watz. Maximo na fitna zake kwa kaseja ilikuw kikwazo kwa soka la bongo
Hongera tanzania,pia yamewashuka wale wambea waliosema jk ana gundu,jk ndie amehamasisha soka letu nakulipa msisimko hongera jk hòngera paulsen,hongera captain nsajigwa,hongera wachezaji wote wa stars
Hatimaye tumeupata ushindi!pongezi kwa wachezaji wa kilimanjaro stars na watanzania wote wanaopenda michezo!nimeshangaa sijamuona JK!
lol, mapema hivyo?sasa esa na kombe vinabaki hapahapa bongo. this is great...najua sasa tumepanda kiwango kwenye orodha ya fifa
super sport wamerusha mechizote tokea mashindano yalipoanza kupitia super sport 9supersport wanairusha live...hii ni babkubwa mnooooo