Second division mbali sana kama angefundisha hata conference tu ningeelewa...Huyu pre luminary coach Ami ninje ni useless kabisa yani hii timu angepewa kocha yoyoye Wa VPL Wa tz tungeenda semifinals ,jamaa mjanja mjanja sana aachanae Na timu yetu ya taifa it's shame kuitumia timu ya taifa kwenda kujaribia mifumo tena kWenye mashindano makubwa kama haya , useless kabisa wachezaji hawahawa mayanga kafika nao third place cosafa yeye kaja Na mifumo yake isiyojulikana and this is a blame to TFF too, huyu jamaa hajafundisha hata second division huko UK then unampa national team kweli?? You people stop working with our football
0755172132Wadau nahitaji namba za MTU aitwaye Ami ninje.nataka tu nimshauri ajiuzulu arudi uingereza kwa dadaake akaendelee kufundisha timu za mtaani atuachie soka letu LA bongo tuuuane sisi wenyewr
Warudishwe na karandinga kisha wakalale ukonga kuziba nafasi ya waliotoka jana!Timu ya Tanzania bara, Kilimanjaro Stars imeaga rasmi mashindano ya CECAFA baada ya kufungwa na Rwanda goli 2-1.
Magoli ya Rwanda yalifungwa dakika ya 17 na 66, wafungaji wakiwa ni Innocent Nshuti na Biramahire Abeddy, Kilimanjaro stars ilipata goli dakika ya 29 kupitia Danny Lyanga
Kabla ya Rwanda, Kilimanjaro Stars walitoa suluhu ya 0-0 na Libya na kisha kufungwa na Zanzibar Heroes goli 2-1
======================================================
Kila siku liko vile vile michuano yote iko vile vile ni kupigwa na kudroo tu haina mabadiliko ya kuwapa furaha mashabiki, Kocha wao Kiswahili kirefu sana na Kiingereza chake anatuona sisi mazuzu.
Walah uzalendo wangu kwa taifa unaanza kushuka kwa sababu ya upuuzi wa hii timu.
Rahim ndugu yangu cecafa tu tinabamizwa ivi hiyo michuano mingine si ndo itakua kiama , yaleyale ya goli saba za Algeria.Timu ya taifa inashindwa kufanya vzuri ni kutokana na mandalizi afifu kwa wachezaji na timu nzima kwa ujumla.Hivyo hupelekea mara kwa mara kufungwa na team pinzani.kocha angalie alipokosea ili kwny michuano mingine tufanye wonders
HahahaaaaMi hadi leo najiuliza walimpaje timu wakati hana achievement yeyote hapa bongo? Hajawahi kufundisha timu yoyote hapa bongo, au walidhani kingreza ndo kitacheza uwanjani
Hahaha alikimbia lawama inaonekana alisoma alama za nyakati kuna uwezekano ninja akawa anasikilizwa kuliko yeye pale tifutifuNajiuliza kwnn mayanga hakwenda na timu
Ndugu yangu ishaallah Allah atakubali dua zetu ..... Maana hawa watanganyika kikweli hasa wanatuchukulia kuwa sisi ni maadui zao tena ni adui kiliko hata hao wakenya ama waruwanda na wengine wa karibu yao, na hivi karibuni ndio wanashindwa kuficha uadui wao wanaidhihirisha waziwazi katika kila nyanja ya maisha.Kaka nchi kuwa nchi haitokani na ukubwa ardhi,nchi kuwa nchi kuna mambo mengi ndani yake,Timu ya taifa ya Zanzibar "Zanzibar heroes" inacheza kwa ari sana,inacheza kwa kujituma sana,,,,
Kutokana na Zanzibar kutoruhusiwa kucheza katika mashindano ya Kimataifa na FIFA pamoja na shirika la mpira la Afrika imeifanya Zanzibar iwe na ari ya kutaka kuionyesha dunia kuwa wao mpira wanaujua kuliko watawala wao...
Nchi ya Uingereza ambayo imeungana muungano unaofanana na muungano wa Tanganyika na Zanzibar,nchi zilizojenga mungano wa United Kingdom Wales,Scotland zinaruhusiwa kucheza kwenye mashindano ya Dunia lakini Zanzibar hairuhusiwa sababu kuwa zanzibar imeungana na Tanganyika.
Cha kushangaza kuwa serikali ya mungano wa Tanzania inaruhusu hali hiyo iwepo....sijawahi kuisikia hata siku moja serikali ya mungano wa Tanzania kuitetea Zanzibar kwa hili kwa wao wanaona sawa tu,kwani kila kitu kiko kisiasa zaidi