Kilimanjaro NDIYO, Waziri Mkuu na matangazo ya biashara-HAPANA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimanjaro NDIYO, Waziri Mkuu na matangazo ya biashara-HAPANA!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Aaronium, Nov 11, 2011.

 1. Aaronium

  Aaronium Senior Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mlima Kilimanjaro? Ndiyo! Lakini kupitia kampuni ya serikali iliyo binafsi na kuitangaza ati tuma ujumbe kupitia airtel siyo sahihi kabisa tena inatakiwa akareverse lile tangazo1
  Kwanza, Sheria ya TCRA ambayo imepitishwa na bunge tukufu la Jamhuri ya Tanganyika inaipa uwezo mamlaka hiyo kutangaza jambo ambalo ni la kitaifa katika vyombo vyote vya habari na mawasiliano na kwa muda ambao deemed that wa-Tanganyika wote, ofcourse ZNBR haliwahusu watakuwa wanasikiliza na kwa nafasi ambayo watumiaji wote wa mitandao ya simu wataweza kufikisha ujumbe huo , kama mmesahau na sheria mmeziandika wenyewe mimi nawakumbusha sasa.

  Pili, Kupigia kura mlima huu Kilimanjaro ni jambo la kitaifa kabisa, halina mashaka, shaka na hofu kubwa na hapo karibuni itakaposikika kwamba mlima huu wa ajabu kipenzi cha wa-Kenya utakapo kuwa declaired kwama umeuzwa na dola in shre chache (minority shares) hapo tena mtoto huyu wa mkulima tajiri sijui atajifichia wapi!!? Msicheke jamani, kwa sababu hata mkilia machozi yenu yaenda na maji, haya wamempata pazuri waziri mkuu wetu!
   
 2. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 821
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Pamojaa na yote,imeniuma kwamba kuimiza watu kupiga kura kumeanza hivi karibuni. Kwa nini hawakuanza siku nyingi?
  I'm very sad!!
   
Loading...