Kilimanjaro na Arusha mikoa iliyobarikiwa vipaji vya kila aina

Hivi kwanini watu wa huko wanapenda kuiweka hii mikoa kama mkoa mmoja? Kwanini kila mkoa usijivunie vipaji vyakevya mkoa husika mpaka muunganishe halafu ndio mseme vipaji kutoka huko? Kwanini isiwepo list pekee inayojitegemea ya vipaji vya Arusha na nyingine vya Kilimanjaro..mikoa mingine ingekuwa inafanya hivyo hakika mwisho wa siku tungeona Kaskazini kwa vipaji si chochote si lolote mfano Tusem Morogoro,Pwani na Dar es salaam ina vipaji vingi au Kigoma na Rukwa au Lindi na Mtwara..au tuje Mwanza na Mara na shinyanga tuunganishe tuseme mikoa hii ina vipaji vingi...watu wa Arusha na Kilimanjaro wanahisi kama wapi mkoa mmoja vile
Ukanda waliwah kwenda kutaka Uhuru kwa ajili ya kaskazini tu enzi hizo hao jamaa ni Wa MIMI Hatar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni Wa kutandikwa kias siku nyingine ukiwa za kuja na ungese wako Wa ukabila na ukanda uishie huko huko malaka we.

Sent using Jamii Forums mobile app
Comments zako tuu zinaonyesha tuu una Hali mbaya kiuchumi ..acha nkuache naona unataka kunipumzikia wakati nko bize nna Mambo mengi ya kufanya na sio kubishana na unsound mind km ww.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom