Kilimanjaro: majambazi yavamia na kuua Moshi Vijijini

mnyinda

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
277
64
Majambazi yamevamia mkoani kilimanjaro, Moshi Vijijini kijiji cha Uchau kaskazini kata Kibosho Kati na kumuua mtoto mmoja na wengine kujeruhiwa.

Majambazi hayo yalivamia nyumba tatu za wafanyabiashara wa bia za jumla na kufanikiwa kuchukua pesa
wakati wa purukushani hizo ndipo mtoto huyo wa kidato cha pili katika shule ya sekondari okaona, alipokuwa akimlilia baba yake Rogasiani Mushi alipigwa risasi ya kifuani.
 
Majambazi yamevamia mkoani kilimanjaro moshi vijijini kijiji cha uchau kaskazini kata kibosho kati nakumuua mtoto mmja na wengine kujeruhiwa
majambazi hayo yalifamia nyumba tatu za wafanyabiashara wa bia za jumla nakufanikiwa kuchukua peza
wakati wa prukushani hizo ndipo mtoto huyo wa kidato cha pili katika shule ya sekondari okaoni alipokuwa akimlilia baba yake rogasiani mushi alipopigwa risasi ya kifuani,

Inasikitisha sana, ila humo kwenye red... wewe kweli ni clemee... Mbonyi shafoo...
 
shimbon shafoo'
 
Kafo meku, poleni sana japo kuchapia kikwetu imo, basi Mungu airehemu familia ya mangi,
 
Majambazi yamevamia mkoani kilimanjaro moshi vijijini kijiji cha uchau kaskazini kata kibosho kati nakumuua mtoto mmja na wengine kujeruhiwa
majambazi hayo yalifamia nyumba tatu za wafanyabiashara wa bia za jumla nakufanikiwa kuchukua peza
wakati wa prukushani hizo ndipo mtoto huyo wa kidato cha pili katika shule ya sekondari okaoni alipokuwa akimlilia baba yake rogasiani mushi alipopigwa risasi ya kifuani,
mnyinda ------yafamia kweli wewe ni wa nyumbani. Kwadembe
 
Last edited by a moderator:
aisee babaangu poleni sana kama wamefamia, wamepora peza na kuua
 
Majambazi yamevamia mkoani kilimanjaro moshi vijijini kijiji cha uchau kaskazini kata kibosho kati nakumuua mtoto mmja na wengine kujeruhiwa
majambazi hayo yalifamia nyumba tatu za wafanyabiashara wa bia za jumla nakufanikiwa kuchukua peza
wakati wa prukushani hizo ndipo mtoto huyo wa kidato cha pili katika shule ya sekondari okaoni alipokuwa akimlilia baba yake rogasiani mushi alipopigwa risasi ya kifuani,
R.I.P Kijana
 
Bila shaka ni wakati mwingine wa jeshi lengwa kufanya kazi yao barabara na hata hivyo mpaka wafanikishe kazi yao ya kuwakamata majambazi hao!

Mtoto aliyepoteza maisha MUNGU amlaze mahala pema peponi!
 
eeka mmiku karibu mbeke mmiku
nyaa lunaa mbeke saa

Mhhh!!! Sifikirii kama ni jambo la dhihaka na kukaribishana mbege ila ni tatizo linlosikitisha na kutisha risasi hadi vijijini sijui litadhibitiwa namna gani maana siku hizi kila mtu anayo silaha ya moto kigezo ni pesa ya kuhonga awe nayo, ningeshauri serekali kupitia wizara ya mambo ya ndani utafakari upya uamuzi wa kuruhusu raia kumiliki silaha za moto,sipati picha nikifikiri ni jinsi gani itakuwa siku watanzania watachochewa kufanya vurugu maana wengi wanazo silaha.ni bora ingekuwa si ruhusa kwa raia kumiliki silaha kwa jinsi hii hata uhalifu ukitokea ingekuwa rahisi kufuatilia silaha gani imetumika na nani anayehisiwa kuwa anamiliki silaha,kwa maana hata tungefanya utafiti kwa Wale wanaomiliki silaha ni kwa kiwango gani zimewasaidia(zimetumika) kuzima ama kuzuia uhalifu utapata jibu y kuwa ni kwa asilimia kidogo sana ukilinganisha na matukio yanayotokea kwa sasa...
 
Majambazi yamevamia mkoani kilimanjaro, Moshi Vijijini kijiji cha Uchau kaskazini kata Kibosho Kati na kumuua mtoto mmoja na wengine kujeruhiwa.

Majambazi hayo yalivamia nyumba tatu za wafanyabiashara wa bia za jumla na kufanikiwa kuchukua pesa
wakati wa purukushani hizo ndipo mtoto huyo wa kidato cha pili katika shule ya sekondari okaona, alipokuwa akimlilia baba yake Rogasiani Mushi alipigwa risasi ya kifuani.

Inasikitisha sana, ila humo kwenye red... wewe kweli ni clemee... Mbonyi shafoo...

mbonyi nsafo mbee.....poleni sana wafiwa hawa kajambazi wanatumaliza
 
nilifikiri msomi niko peke yangu jf,
hapo hapo risasi zimelia mtindo mmoja plato kapigwa ya kifua na anaendelea visuri,

RIP mwanangu MKARIZIKI!
Hakika ni mauaji ya kusikitisha kwa kukatisha maisha ya mtoto(kasichana) mdogo wa miaka 12 tu. Ni damu itakayo walilia wauaji hao hadi wakamatwe. Mtoto alikuwa kidato cha kwanza sekondari ya Mangi sina na si Okaoni kama mleta mada alivyoeleza hapo juu.
 
nilifikiri msomi niko peke yangu jf, hapo hapo risasi zimelia mtindo mmoja plato kapigwa ya kifua na anaendelea visuri,[/MANKA KILO NA ILE KITIMOTO YAKE NA ILE MBEGE ANAPIGA HELA SANA! YAAN MTU ANAWEZA KUTOKA KM 3 KUMFUATA YEYE!
 
Poleni sana wahanga.Siku hizi watu wamesahau mila mpaka imefikia hatua majambazi yanarudi kuiba kwenye asili yao na kuua.
 
Back
Top Bottom