Enzi zetu miaka ya 60,theluji haikua ya kuvizia,ni mwaka mzimaHapo si unaiona?
Karibu kiongozi.
Watu waache kukata miti
Enzi zetu miaka ya 60,theluji haikua ya kuvizia,ni mwaka mzimaHapo si unaiona?
Karibu kiongozi.
Nashukuru Sana mkuu ulitukutanisha Mimi na Mke wangu hapa jf kipindi kile aise mekuNimekuta nacheka kwa furaha sana.
Hongereni sana. Big up
Kweli kabisa.Uharibifu wa mazingira unatishia theluji ya mlima kilimanjaro
Panakaa Kama glacier if am not mistaken!!!Wadau hakuna hata mmoja humu aliyeweza kujua hapo ni sehemu gani mlimani?
Hiyo ni Crater Kaka mkubwa...Mmmmh, ipo siku picha zitatolewa huko Singapore tuambiwe tutaje ni maeneo gani huku TZ , mtoa uzi tusaidie ni eneo lipi maana nadhani jibu halijapatikana japo mlima tumesha ukwea zaidi ya mara moja.