Kilimanjaro Kilimanjaro I love You.

Nimekuta nacheka kwa furaha sana.
Hongereni sana. Big up
Nashukuru Sana mkuu ulitukutanisha Mimi na Mke wangu hapa jf kipindi kile aise meku
Unakumbuka mzee baba????
Hiv Yule dem wako alikua anaitwa nan tena
 
Mmmmh, ipo siku picha zitatolewa huko Singapore tuambiwe tutaje ni maeneo gani huku TZ , mtoa uzi tusaidie ni eneo lipi maana nadhani jibu halijapatikana japo mlima tumesha ukwea zaidi ya mara moja.
 
Mmmmh, ipo siku picha zitatolewa huko Singapore tuambiwe tutaje ni maeneo gani huku TZ , mtoa uzi tusaidie ni eneo lipi maana nadhani jibu halijapatikana japo mlima tumesha ukwea zaidi ya mara moja.
Hiyo ni Crater Kaka mkubwa...
Kina Diamond na Kigwa wako juu.
Sema wanakimbia sana.
Diamond watam'beba. Anaenda pupa sana.
 
Back
Top Bottom