Aleji huwa inaisha tu mkuu...Nikajua unazungumzia mkoa kumbe mlima! Wengine tuna aleji na baridi. Msubirie yule dada aliyepanda mlima na kufungua uzi humu huku akikupa shavu kwamba wewe ndio ulimshawishi.
Which party?
Political party..Which party?
Chadema! Siku nyingine ujue kutofautisha maneno ya kiingereza, "party" sio sawa na "part"Which party?