Ni kweli kama Mheshimiwa wa kenya alivyosema kama wewe unanyumba nzuri na utaki kuikalia na kuna watu wanashida ya nyumba nini unafikiri watafanya? Jibu watahamia
Ni challenge sana kwa watanzania kufahamu Umuhimu wa Kutangaza rasilimali za Taifa na ukizubaa wajanja wanazitumia.
Mara ngapi tumeulizia serikali kuhusu kutangaza Mlima Kilimanjaro lakini hakuna jibu lolote ambalo wanachukua kuhakikisha Wakenya hawafanyi ujinga huo.
Hata mara ya mwisho JK alipotembelea UK kwa mara ya kwanza kama rais alikumbushwa hilo na jibu lake ni " Kama wao wakenya wanasema Mlima upo kwao na nyinyi waambieni Mlima upo kwetu,nyinyi pia mnamidomo ya kuongea" Haya ndio majibu ya Rais lakini alichosahau wao wanatumia rungu kubwa kuliko midomo yetu nayo ni "International Advertisement" Je midomo yetu inaweza kushindana na Rungu hilo?
Viongozi wetu ni Ignorance na hyprocrite na ndio maana tunaonekana watanzania tupo nyuma hali ambayo tupo mbele sana kufananisha na Wakenya au Waafrika wengine.
Ni pale itakapofika kwamba wanaambiwa na wanasikia basi Mtanzania ndio ataonekana anajua lakini kama hawatasikia basi watanzania wataonekana malofa siku zote hali ambayo sio kweli
AJM, Londoner