Kilimanjaro International Airport - JRO Hali yake ikoje, mbona haiweleweki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimanjaro International Airport - JRO Hali yake ikoje, mbona haiweleweki?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MPadmire, Jul 10, 2009.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Kilimanjaro International Airport -KIA (JRO) hali yake ni TETE, haieleweki.

  Waziri wa Mali Asili na Utalii aulizwe ni sababu zipi watalii wengi wanaokuja Tanzania wanatua NAirobi Jomo Kenyatta Airport na ndipo waje Tanzania? Je Wizara itachukuwa hatua gani ili Landing fee ya KIA ishuke bei na mafuta ya ndege hapo KIA yashuke Bei ili ndege nyingi zitue KIA Tanzania kuliko Kenya.

  Ajira zitaongezeka, watalii wataongezeka, na serikali itakusanya kodi nyingi. Pia Ni aina ya marketing,
   
 2. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35


  Ni uwanja mzuri tu tena kutokana na hali ya hewa ya pale ni mzuri kuliko wa Dar kwani ni msafi saa zote hauihitaji air conditioner kama Dar ni waziri kusikia huo wito uliotoa
   
 3. Democrasia

  Democrasia Member

  #3
  Mar 22, 2010
  Joined: Feb 1, 2008
  Messages: 80
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Sababu ni kwamba wakurugenzi wamekuwa wakijipangia viwango.
  Hususan rental fees na hizi Airport entry fee ambazo zinawachanganya wenye akampuni ya kitalii
  Kwani Jamani hamjui kuwa pale ni ufisadi tuu, KADCO wamekuwa wakikusanya pesa na kula zote,
  Hivi huwezi kujiuliza kwa nini serekali inapiga vita matumizi ya magari ya kifahari ili hali wakurugenzi wa KADCO wamekuwa wakijinunulia magari ya milioni 150 kila mmoja.
  Hili limeanza pale tuu walipoambiwa kuwa Shea za KADCO zimenunuliwa na serekali
   
Loading...