Hoteli ya Kilimanjaro, ambayo zamani ndiyo ilikuwa hoteli ya heshima kubwa ya taifa la Tanzania, imepitia wakati mgumu tangu kubinafsishwa kwake katika mazingira ya kutatanisha. Imepitia jina la Kempinski, ikawa Hyatt (hayati) na sasa wajanja mjini wanaiita "The Kilimanjaro Wikileaks Hotel!" Waswahili kwa maneno bana...
Source: TANZANIA blog
Source: TANZANIA blog