Kilimanjaro: Binti adaiwa kumuua mama yake kisha kumng’oa macho

Mnavyobaguana mkiwa huko Moshi Mara huyu ni mrombo mkibosho Mana dhambi ya ukabila itakula mpaka ukiwa mrombo utaanza kuangalia Koo kiubaguzi.mtabaguana mpaka family level.
Kwanza ivi Kuna wachaga kwani Kuna kabila la kichaga kweli Mana wilaya moja makabila Kama kumi tofautitofauti.
Mie hata mchaga bure sioi

ukioa usipooa wapi mbaya hapo
Embu pumzisha akili kijana acha kudemka
 
Ukute kasingiziwa ,mtoto wa kike kwa mama yake anakuwaga na huruma mno,Mimi Nina wasiwasi na huyo mtoto wa kiume,Kuna uwezekano amefanya mbinu anataka kurithi shamba au nyumba wachunguze vizuri
 
Binti mdogo halafu kamuua mama yake,kamnyonga,halafu baada ya kufa kampiga na kitu kizito,halafu kamtoa na macho,hapa uchunguzi wa kina unahitajika kwanini ampige na kitu kizito baada ya kumnyonga,na hayo macho kwanini kayatoa kama lengo lilikuwa ni kumuua tu...?
Kasingiziwa huyo,hilo li Kaka lake ndo litakuwa liuaji labda Kuna shamba au nyumba linataka kurithi limeona anachelewa kufa na uzee ,likafanya njama ya kuumaliza mapema na kumsingizia huyo binti.
 
tubadilishane na kenya aichukue kilimanjaro atupe mombasa kama ilivyokuwa zamani kwenye ramani wachaga wakakae kenya

Hahahaa,, kwahyo Kilimanjaro iende Kenya au Wachaga ndio wahamie Kenya!?
 
Back
Top Bottom