Kilimanjaro: Ateketeza nyumba baada mkewe kuchelewa kumfungulia

he pepo la ufilisi linipitie mbali asee mimi mwenyewe nalewa sana ila blaza katisha asee :)
 
duuuhh mwenyekiti kazingua.......!!!!

huyo alieangukiwa na zege nna wasiwasi na hao wachina.....nawafaham sana tabia zao ktka maswala ya ujenzi mkubwa kama huo
 
Kuna wakati nahisi wanaume tuna matatizo sana kuliko tunavyowachukulia wanawake

sijawahi kusikia wanawake wakishiriki kufanya matukio ya ajabu kama haya


bora ukiri kwa niaba ya wanaume wote na maajabu zaid huo mke ataendelea kuishi nae tu as if hakuna jambo baya...yaan mm leo nikalale kwa majirani na wanangu kisa nmapombe yako??
 
Pamoja na kuwa nyumba yake lakini anashtakiwa ila akichoma maini yake kwa pombe aah hakuna shida hii pombe ipigwe marufuku kwani ndio Chanzo cha maovu yote
 
Wilaya ya HAI. Inawezekana huyu Mwenyekiti alihusika katika zoezi la kung'oa mboga mboga katika shamba la Mh. Mbunge wa HAI.
 
In vino veritas.kwenye pombe kuna ukweli alikusudia huyo anatafuta defence za kijinga.

Mke alikuwa ndani sasa?
 
Back
Top Bottom