kilikoni mikutano ya NAPE na KINANA!

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,251
1,467
Ni takribani sasa yapata wiki moja nikiwa najitahidi na kuhakikisha sipitwi na habari za kisiasa hasa zinazohusu ziara za makatibu wakuu wa vyama viwili vyenye ushindani nchini kisiasa.mara zote si wafuasi wa CCM wala CDM,wote jambo limekuwa moja wameungana pamoja kumsindikiza dr slaa(gwiji la siasa)hasa katika ziara zake huko kigoma.ninachotaka kujua ni je akina kinana na nape walikoenda hawakufanya la maana?ama je jf mtandao wake ulukuwa na shida ndo maana watu hawakuandika.?
au je hii ni ishara kuwa cdm wana wafuasi wa sili na ccm wana maadui wa siri ili wasipoteze vibarua hawajioneshi waziwazi?bado sielewi huu umoja wa wanachama wa ccm na cdm kufuatilia ziara za dr slaa na kuacha za akina nape zinamaanisha chadema ni kipenzi cha walio wengi au ccm imezoeleka.jamani wale wanaoweza kufuatilia za akina nape wekeni ili kuwe na usawa maana naona slaa ametawala vyombo vya habari karibu vyote bila kujali kuwa ziara zake zaidi ni kwa faida ya nani!
 
Kwa wachambuzi wa siasa wanawezaipa sura tofauti hili ambalo linatokea. Kuna mahali nimesema kua ukarimu unaoonyeshwa na wanaccm kwa chadema ni wa kutisha. Wanasahau hata kuujuza umma juu ya ziara iyo na yalo Jiri katika ziara ya kiongozi mwandamizi wa chama!!!! Hili linaonyesha nguvu wanayoitumia kwa upande wa wapinzani wao kuwa ni kubwa mno
 
Back
Top Bottom