Kilichotukuta kwenye kivuko!

Spark

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
1,001
1,024
Wadau hii imekaeje?

Leo wakati tunatoka kigamboni (ferri) tukiwa na bajaji tuliingia kwenye pantoni (kivuko),baada ya kufika upande wa pili dereva alitoa chombo kama kawaida,mimi nikapanda baada tu ya chombo kutoka kwenye pantoni pale walinzi wa suma JKT wanapokaa,cha kushangaza wakatukamata na kudai mimi nlokua abiria nimetenda kosa! Tukauliza kosa gani? Wakadai sijashuka kwenye bajaji pindi nlipokua kwenye kivuko! Na wanataka elf 50 kama faini!

Tukajitetea kua sisi ni wageni na hatukua twalijua hilo,wakang'ang'ania tulipe! Je ni kwel kuna fine kama hiyo pindi mgeni au mtu asiyejua taratibu!

Badala ya kuelekezwa na kupewa onyo ili siku ingine mtu uwe makini! Wazoefu mnalipi la kutuelimisha kuhusu hili,sababu mimi naona kama sikutendewa haki!
 
Wadau hii imekaeje? Leo wakati tunatoka kigamboni (ferri) tukiwa na bajaji tuliingia kwenye pantoni (kivuko),baada ya kufika upande wa pili dereva alitoa chombo kama kawaida,mimi nikapanda baada tu ya chombo kutoka kwenye pantoni pale walinzi wa suma jkt wanapokaa,cha kushangaza wakatukamata na kudai mimi nlokua abiria nimetenda kosa! Tukauliza kosa gani? Wakadai sijashuka kwenye bajaji pindi nlipokua kwenye kivuko! Na wanataka elf 50 kama faini! Tukajitetea kua sisi ni wageni na hatukua twalijua hilo,wakang'ang'ania tulipe! Je ni kwel kuna fine kama hiyo pindi mgeni au mtu asiyejua taratibu! Badala ya kuelekezwa na kupewa onyo ili siku ingine mtu uwe makini! Wazoefu mnalipi la kutuelimisha kuhusu hili,sababu mimi naona kama sikutendewa haki!
Jibu kama umelipa hiyo 50k kwanza, na una risiti. Tuanzie hapo
 
Kwenye kuta za pantoni yapo maandishi kabsaaa [ijapokuwa madogo] yana maelekezoo ya namna ya kukaa, namna ya kufanya itokeapo sharura, kutopiga picha, nk , uwapo mgeni yabidi uangaze sana machooo

sawa na maandishi ya kwenye pakiti ya sigara/condom waeza usihangaike somaaa, ukiendekeza dharau
 
mkuu unadhani wapanda kivuko wote wanajua kusomaa??
 
Tukajitetea kua sisi ni wageni na hatukua twalijua hilo,wakang'ang'ania tulipe! Je ni kwel kuna fine kama hiyo pindi mgeni au mtu asiyejua taratibu!

Badala ya kuelekezwa na kupewa onyo ili siku ingine mtu uwe makini! Wazoefu mnalipi la kutuelimisha kuhusu hili,sababu mimi naona kama sikutendewa haki!
Kutojua sheria sio excuse, and remember, watu wanakatazwa kubaki kwenye magari kwa usalama wao wenyewe!! Ukibaki ndani ya gari/bajaji halafu kivuko kikawamwaga majini, hesabu unaenda hadi chini na gari yako na uwezekano wa kujiokoa unakuwa mdogo sana!!!
 
Kwel mkuu,watu hua wanakaa vzur tu,cjui yule askari alituona walala hoi!
Ila hapo sijaelewa ....
mbona mara kibao nawaonaga watu wamekaa kwenye magari Yao Tu na mkivuka hawaambiwi chochote ....au ni Kwa bajaji tu
 
Wadau hii imekaeje?

Leo wakati tunatoka kigamboni (ferri) tukiwa na bajaji tuliingia kwenye pantoni (kivuko),baada ya kufika upande wa pili dereva alitoa chombo kama kawaida,mimi nikapanda baada tu ya chombo kutoka kwenye pantoni pale walinzi wa suma JKT wanapokaa,cha kushangaza wakatukamata na kudai mimi nlokua abiria nimetenda kosa! Tukauliza kosa gani? Wakadai sijashuka kwenye bajaji pindi nlipokua kwenye kivuko! Na wanataka elf 50 kama faini!

Tukajitetea kua sisi ni wageni na hatukua twalijua hilo,wakang'ang'ania tulipe! Je ni kwel kuna fine kama hiyo pindi mgeni au mtu asiyejua taratibu!

Badala ya kuelekezwa na kupewa onyo ili siku ingine mtu uwe makini! Wazoefu mnalipi la kutuelimisha kuhusu hili,sababu mimi naona kama sikutendewa haki!
Wanasema kutojua sheria hakukupi uhalali wa kuvunja sheria/kutenda kosa
 
Ila hapo sijaelewa ....
mbona mara kibao nawaonaga watu wamekaa kwenye magari Yao Tu na mkivuka hawaambiwi chochote ....au ni Kwa bajaji tu
Kwenye gari anabaki dereva tu. Abiria lazima ashuke isipokuwa wazee au watoto wadogo.
 
Back
Top Bottom