Kilichotokea Zimbabwe baada ya amri ya kuzuia mikusanyiko

Mapolisi ya Afrika makatili, mtu ameanguka chini bado yanatembeza kipodo, nikiwa kijana nilitamani nipate fursa ya kumkuta FFU akiwa mwenyewe kwenye giza nimpopoe na jiwe kichwani.

😁😁 Nasikia FUNGUA FANTA UNYWE wamefundishwa kudunda watu mpaka gizani,sijui ukimpopoa itakuwaje apo
 
😁😁 Nasikia FUNGUA FANTA UNYWE wamefundishwa kudunda watu mpaka gizani,sijui ukimpopoa itakuwaje apo

Wenyewe hawana nguvu kihivyo, hutegemea wingi wao, ila akija mmoja pekee yake hata na lifimbo lake hilo unamdunda tu.
 
1584987048615.png
 
Ngozi nyeusi kama kenge tu,kuelewa somo mpaka damu masikioni!
 
Back
Top Bottom