Kilichotokea leo alfajiri Namanga kwa Edo muuza chips

Edo alipiga mtaji akasepa Sauzi, baadae Dingi yake akairudisha tena....Nasikia Edo aliwekwa ndani Sauzi. Ila kitambo sana, watoto wa 'mafleti' tulikua tunaenda kununua chips
Kuna jamaa mmja humu namuambia eddo alifia gerezani sauzi anasema mm mdaku...mkuu unakumbuka kulikuwa n'a sehemu ya kuuza chips inaitwa tak papa pembeni n'a eddo

Ova
 
Kuna jamaa mmja humu namuambia eddo alifia gerezani sauzi anasema mm mdaku...mkuu unakumbuka kulikuwa n'a sehemu ya kuuza chips inaitwa tak papa pembeni n'a eddo

Ova
Nakubishia mwanzo mwisho edo kafungwa south Africa kipindi kirefu ila ni mzima hajafa
 
Jamani sisi wengine tuko na tunaishi Mikoani muda wote hivyo hatujui maana ya neno Vijana wa Makumbusho mara sijui mabaka ya jei wii na kwa Edo Chips. Tunaomba ufafanuzi wa kutosha na utakaotusaidia kutuelewesha sisi wa Mikoani kuweza kuelewa hiki ulichokiandika Mkuu. Nitashukuru.
Waache watoto wa bashite waendelee kudiscuss chipsi yai na kuku wa kisasa. Nadhani siye wa mikoani hayatuhusu haya.
 
Wasisahau na Mwenge nyuma ya TRA kwa Joti....nacho ni kijiwe maarufu cha Boss mmoja hapo jijini.
 
Ni kwamba hii vita ya Dawa haitamalizwa kwa mtindo huu, hayo maeneo sijui kwa Edo huwezi kuta the real Drug Dealer anajichanganya maeneo kama hayo zaidi ya watumiaji wadogowadogo. Sehemu kama hizo mara nyingi wahudhuriaji wake ni wapenda Show-OFF and those who are trying to fit in a.k. Nyumbu!
 
hivi unajua gentamycin si mkorofi labda avurugwe tu ndo anamaliza hasira kwa ataejipendekeza anga zake kwa wakati huo.otherwise ni mtu poa
08590356c4cbdd79d309d134947fb250.jpg
angalia mfano huu
 
Alikufa mwaka gani mdau
EDDO ALIFUNGWA JELA SOUTH AFRIKA MUDA TU N'A KUNA WAKATI KULIKUWEPO N'A TAARIFA ZAKE ZA KUFIA GEREZANI .....
N'A KHSU SEKESEKE LA HAPO KWA EDO UJUE EDO NI MPANGAJI N'A NYUMBA HYO IMEUZWA SASA WANA TAKA KUMUAMISHA EDDO HAPO....

OVA
 
Back
Top Bottom