Wakumbuke ambavyo wameshatuibia kila kukicha, Kwa suala la reli na Bandari JPM alikaa kidete nampongezaNdugu Kanewi, mchina ameshatuondoa katika marafiki zake 5 bora barani Afrika, na yote hayo ni kwa sababu Raisi Magufuli aligomea kuendelea na mikopo miwili mikubwa.
1. BANDARI YA BAGAMOYO
2. RELI YA SGR KUTOKA DAR HADI MWANZA NA KIGOMA.
Magufuli alikataa mikopo hiyo kwani haikuwa mizuri kwa nchi, ilikuwa ghali sana na haikuendana na miradi yenyewe. Ilikuwa na dosari nyingi, hilo limemuudhi sana mchina.
Hata hivi juzi majaliwa amepewa muda mdogo sana wa kuona na Raisi wa china.