Kilichotokea jana kuhusu LUKU ni matokeo ya kuajiri watu kwa kuangalia vyeti pasipo kuangalia uwezo

Huu mtindo wa ajira za kudumu bila kuangalia ujuzi ufe hasa kwenye taaluma zenye uelekeo wa mambo ya ufundi
 
La LUKU na lile pambano la watani wa jadi pale kwa Mkapa ni kwasababu JPM hatunae tu
 
Shida hizi kazi watu wanapeana kindugu na kikabila bila kuangalia uwezo wao katika utendaji. Siku wakiamua kutuhujumu ndio inakuwa kama hivi. Mbaya sana.
 
Back
Top Bottom