Kilichotokea jana kuhusu LUKU ni matokeo ya kuajiri watu kwa kuangalia vyeti pasipo kuangalia uwezo

ishu sio kwamba mfumo kuzingua ishu ni kwamba mfumo ukizingua ww ume react vipi?Mifumo mingi inazingua lakini kutokana na ufanisi wa wataaramu haichukua hata dakika tatizo linakuwa solved.
Shida mimi nliyoona hawana backup, nadhani server yao ndiyo ilizingua kutokana na maelezo ya naibu waziri aliposema kifaa kinachounga mfumo wa tanesco na hii mitandao ya sim na akima maxmalipo, nikahisi itakuwa server ndiyo ilizingua.
Ilibidi wawe na backup.
 
Ni muda umefika wazee watupishe vijana tufanye kazi maana technolojia inabadilika kila kukicha.awana new plan yoyote ile wakebaki tu kukalia viti maofisini
 
Habari wadau!

Jana baada ya kutokea kashikashi ya mfumo wa manunuzi ya Luku, nikawaza sana hawa wahandisi wa umeme waliozingua watakuwa ni product ya chuo gani? Nikajiuliza je walipigwa interview kweli kabla ya kazi au ndio wale waliopata ajira za kamuite? Au ndio huu mfumo wetu wa kuangalia GPA za kukalili?

Kama sio hivyo basi watakuwa wanatumika? Wana kosaje kuwa na backup plan? Kwanini mfumo uzime siku tatu washinde kuurudisha au ndio walienda ku-Google? Kwanini wanashindwa kuanzisha mfumo wa kuhamisha unit kutoka mita moja kwenda mita nyingine? Yaani hawapo creative kabisa.

Mtanisamehe maana niliwaza vitu vya kijinga sana, wakati nipo pale Oilcom Petrol Station ya Kawe binafsi ni mhandisi lakini hawa wahandisi nime wawazia sana nani aliwapa proffessional Certificate pale ERB?

Wakati nipo kwenye mstari niliwaza mengi sana ghafla akaja mzee mmoja wa miaka kama sabini naye akasimama nyuma yangu akaanza kuniongelesha maswali yake yalikuwa kama yangu.
Mtoa mada, Wahandisi wa umeme wana kosa gani? Umeme kwani ulikatika? Mbona unataka kuwaonea Wahandisi bure?(simaanishi kuwa wahandisi hawafanyi makosa, la hasha, ila kwa hili HAWAHUSIKI)
Watu wa mifumo ya TEHAMA ndiyo wa kulaumiwa kwani kilichosumbua ni mifumo ya Kidigitali ya kulipia umeme (ambao umeme wenyewe haukua na shida)haikua na mawasiliano.
 
Hapo unaanza kumtafuta mchawi nani?
 
Shida mimi nliyoona hawana backup, nadhani server yao ndiyo ilizingua kutokana na maelezo ya naibu waziri aliposema kifaa kinachounga mfumo wa tanesco na hii mitandao ya sim na akima maxmalipo, nikahisi itakuwa server ndiyo ilizingua.
Ilibidi wawe na backup.
Unapopewa jukumu lazima ulitendee haki boss,ww umepewa kutengo na mwanasiasa unataka mwanasiasa ndio aje kukushauri kuhusu backup.

Kama wewe unajielewa lazima utajiongeza nankumshauri politician kinachoitajika,hata hvyo iyo sio sababu walichukua muda mwingi sana kushughulikia tatizo mifumo mingi inazingua lakini inachukua masaa tu au siku kurekebisha sio masiku kibao.
 
Tatizo mi nafikiri sio kushindwa kutatua tatizo kwa haraka, haya mambo ya system hua yanabuma tu mda mwingine.

Tatizo kubwa ambalo tunatakiwa kuuliza ni kwann hakuna back up system?

Tukipata jibu hapo ndo tuje tuwalaumu TANESCO.
 
Ni muda umefika wazee watupishe vijana tufanye kazi maana technolojia inabadilika kila kukicha.awana new plan yoyote ile wakebaki tu kukalia viti maofisini
Wazee wametafuta mbinu ya kutuchafua kisiasa wanasema vijana ss wezi,ss sijuhi hao mafisadi wote wanaotumbuliwa kila siku ni vijana.?
 
Habari wadau!

Jana baada ya kutokea kashikashi ya mfumo wa manunuzi ya Luku, nikawaza sana hawa wahandisi wa umeme waliozingua watakuwa ni product ya chuo gani? Nikajiuliza je walipigwa interview kweli kabla ya kazi au ndio wale waliopata ajira za kamuite? Au ndio huu mfumo wetu wa kuangalia GPA za kukalili?

Kama sio hivyo basi watakuwa wanatumika? Wana kosaje kuwa na backup plan? Kwanini mfumo uzime siku tatu washinde kuurudisha au ndio walienda ku-Google? Kwanini wanashindwa kuanzisha mfumo wa kuhamisha unit kutoka mita moja kwenda mita nyingine? Yaani hawapo creative kabisa.

Mtanisamehe maana niliwaza vitu vya kijinga sana, wakati nipo pale Oilcom Petrol Station ya Kawe binafsi ni mhandisi lakini hawa wahandisi nime wawazia sana nani aliwapa proffessional Certificate pale ERB?

Wakati nipo kwenye mstari niliwaza mengi sana ghafla akaja mzee mmoja wa miaka kama sabini naye akasimama nyuma yangu akaanza kuniongelesha maswali yake yalikuwa kama yangu.
Haukuwaza ujinga, uliwaza 'fact' mkuu.

Hauoni mawazo na maswali yako ndiyo kayatumia PM kukabia ile asubuhi pale alipowashitukiza Tanesco staffs?

Majaliwa ameanza tena kunipa furaha.
 
Hawa NIDA inakuaje inachukua mda mrefu saaaaaaaaaana kupewa kitambulisho physical? Tatizo ni nini?
Tenaaa! Wee acha tu, wengine ni wasema hovyo tunashindwa pa kuanzia kusema!

Nikisema kwa kunyoosha maneno bila ya kuyapaka rangi, naweza onekana naitukana wizara nzima.
 
Habari wadau!

Jana baada ya kutokea kashikashi ya mfumo wa manunuzi ya Luku, nikawaza sana hawa wahandisi wa umeme waliozingua watakuwa ni product ya chuo gani? Nikajiuliza je walipigwa interview kweli kabla ya kazi au ndio wale waliopata ajira za kamuite? Au ndio huu mfumo wetu wa kuangalia GPA za kukalili?

Kama sio hivyo basi watakuwa wanatumika? Wana kosaje kuwa na backup plan? Kwanini mfumo uzime siku tatu washinde kuurudisha au ndio walienda ku-Google? Kwanini wanashindwa kuanzisha mfumo wa kuhamisha unit kutoka mita moja kwenda mita nyingine? Yaani hawapo creative kabisa.

Mtanisamehe maana niliwaza vitu vya kijinga sana, wakati nipo pale Oilcom Petrol Station ya Kawe binafsi ni mhandisi lakini hawa wahandisi nime wawazia sana nani aliwapa proffessional Certificate pale ERB?

Wakati nipo kwenye mstari niliwaza mengi sana ghafla akaja mzee mmoja wa miaka kama sabini naye akasimama nyuma yangu akaanza kuniongelesha maswali yake yalikuwa kama yangu.

Kwenye zama hizi za technology za kutoa huduma ni lazima huwe na backup ,hauwezi kutembea kwa mguu mmoja(One leg).....
 
System breakdown s zipo jamani

Yes zipo na ndio maana kwenye installation unafanya backup incase server ikileta shida ,wengine wanafanya kama server moja ipo dar basi nyingine inakuwa dom na zinafanya kazi kama Active/Standby mode moja ikipiga chini nyingine ina teake over with the same efficiency huku wakitafuta solution ya tatizo la server ya mwanzo.
 
Ss kama hawajajua hilo swala la kuwa na backup all the time hawa watu competence yao si inabidi tuwawekee mashaka.
 
tuambie unachokijua ww?hayo ni mambo niliyokuwa nawaza na nimeomba radhi kama nitakuwa niliwawazia vibaya .Je ww unajua nini au ndio unataka kutuambia hawa walitumwa kumkwamisha SASHA aonekani hafai?
Mkuu kama imekuuma sana wewe nenda kaombe kazi Tanesco kama unaona ni rahisi, ama wale jamaa walizembea. Sio kila kitu ni rahisi kama uwazavyo wewe.
 
Back
Top Bottom