Kilichotokea Igunga kinasikitisha

Lutala

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
848
103
Kwa kweli huu sasa ni uchokozi. Mie simo
 

Attachments

  • Igunga.jpg
    Igunga.jpg
    78.8 KB · Views: 237
Waandishi wa habari wana sehem kubwa ya kuvuruga amani! Mfn wa hii katuni, mtu na akili zake atawezaje kuweka hum hali vyama jumla vilikuwa zaidi ya sita?why cdm vs ccm alafu cuf ndo kambeba ccm?huu ni uchochezi wa hali ya juu sana!kama tendwa yupo lazima aseme maana yake ni nini hii!
 
Tendwa hawezi kuweka lijisura lake humu, hana jipya kibaraka wa Magamba. Aliniuzi pale alipomtetea mkuu wa Wilaya ya Igunga eti alikuwa sahihi. Damn.
 
this is just a cartoon and needs you to think beyond what you hear/see instead of concluding! It is 'King Kinya's' perception on what went on in Igunga and is not subjected to the criticism you are rising!
Luckman, you are created rich, pse, think, think, think!!!!
...what have you commented on Aden Rage's act of appearing with a gun in public!?:
Waandishi wa habari wana sehem kubwa ya kuvuruga amani! Mfn wa hii katuni, mtu na akili zake atawezaje kuweka hum hali vyama jumla vilikuwa zaidi ya sita?why cdm vs ccm alafu cuf ndo kambeba ccm?huu ni uchochezi wa hali ya juu sana!kama tendwa yupo lazima aseme maana yake ni nini hii!
 
Hiyo katuni inaelezea ukweli halisi kilichotokea Igunga. Cuf kwa kudhamiria au kutodhamiria wameibeba CCM. Katika visa ambavo CDM walikuwa wanaundiwa na CCM kuwachafua Cuf walikuwa firimbi kueneza uongo huo. Hata karata mbaya sana ya udini ilipotumiwa na CCM kuwachafua CDM Cuf walikuwa waitikiaji hivo mtu kuchora hiyo picha hajakosea. Cuf wasifikiri kuwachafua CDM hasa kwa wale wanaowaunga mkono ambao wengi wao ni waislam kuipakazia uwongo wa mchana chama kipenzi cha watanzania hailipi kisiasa badala yake jamii inawachukulia kuwa ni vibaraka wA CCM. wajiangalie upya.
 
Lukindo, we are learning from examples, its absolutely true on what i said, we have seen a number of comflicts in africa and all over th world, media seems to be a problem, even if u have ur own perception but u have to look at ur position, ur image and coverage, ;look on the impact of it, rumours rised already in the street that cuf is financed by ccm, when ordinary citizen hear such kind of story and look on the said cartoon do u think he will hestate to draw the bottom line??
 
To know the truth (often times) one needs the third eye and a critical mind.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom