Kilichotokea Derby Simba na Yanga, Simba ni wasaa wa kuandika historia

kovai tamil taiga

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
1,036
1,417
Simba mtoani Kaiser Chief nusu fainali Muingie fainali..! Ndio...! Historia itasema kuwa Yanga wali utilise loophole ya kubadili ratiba kukikimbia kikosi hatari cha Maangamizi cha Simba 8/5/2021 Kilichotinga Nusu fainali/Fainali ya Champions League Ya CAF 2021 kuepuka Aibu ya Maangamizi Ya 'Kimbali' Yaani maangamizi ya Halaiki ambayo yangeweza kutokea kwenye mechi hiyo..!

Sasa Kila Mechi mtakayocheza hatua hii mliyofika kwenye CL Ya CAF mjue itabakia Historia Ya Kukumbukwa,Sasa historia hiyo changanya na kuwa Yanga Walitimua mbio kuikimbia Simba.

What a history. Simba Nguvu Moja.
 
Barbra ana akili sana ujue mi mpaka namuogopa. Who knows her next movie. Musola ni PhD lakini anaonekana ana quashiakor ya brain.
 
Hakika ni historia kubwa sana. Hatua yoyote itakayovukwa ni bonge bonge la historia kwa klabu zetu. Champions League na Sio Kombe la Shirikisho la CAF.....! Ni history for sure.
 
Kikosi hiki ndio kile kilichofungwa na Ruvu shouting? Hesabu za mpira ni tofauti na vikoba mkuu! mzunguko wa kwanza mliponea tundu la sindano...!
 
Back
Top Bottom