NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,025
- 688
Imeelezwa kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea Mwenyekiti wa Chadema huko HAI kujiuzulu, ni kutokana na kukerwa na utaratibu wa Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe katika kuwafanya wenzake kama watoto. Amesema mara ya kwanza mwenyekiti huyo alisema Kiongozi atakayekwamisha operesheni UKUTA atakiona, watu wakajiandaa lakini mwisho wa siku aliyetoa hivyo vitisho ndiye aliyeikwamisha operesheni hiyo.
Baadae tena ametangaza operesheni mpya hivi majuzi na ametoa onyo tena kuwa kiongozi atakayekwamisha atakiona. Mwenyekiti huyo aliyejiuzulu anasema KUENDELEA kushiriki miradi
ya mtu mmoja ktk chama ni kukosa dira na ajenda ndani ya chama.
Mwenyekiti huyo amehoji kuwa UDIKTETA tuliokuwa tukiupinga mpaka kuanzisha UKUTA umemalizika?? Je kama bado kwanini tunaanzisha kitu kipya ilihali cha kwanza hakijafanya kazi yake? Au tuliwadanganya watanzania kuwa kuna Udikteta kumbe
hakuna!!!? ...............
Viongozi wa upinzani huenda wote wanatumika bila wafuasi kujua, Mbona wanatuvunja moyo hivi?
Au Mimi ndio huwa siwaelewi