Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,533
Ni huyo huyoNahisi mtoa mada hii na baadhi ya wachangiaji wapo ktk chumba kimoja muda huu
Ni huyo huyoNahisi mtoa mada hii na baadhi ya wachangiaji wapo ktk chumba kimoja muda huu
Isome namba kwani huna macho?Kwa hiyoooo
Akili za kushikwa shikwa hizo..Chadema ni saccoss,na mbowe ndie mkurugenzi wake.
kwani CHADEMA imeuzwa kwa CCM?Dhambi ya kuuza chama kwa mafisadi haitawaacha chadema
Siasa za Chadema siku hizi hata hazieleweki. Wamelia weee kuzuiwa mikutano na sasa hivi wanampongeza rais kwa kuwazuia, hata kama wanabeza lakini watambue watanzania wamewasikia na wanashindwa kuwaamini.Walipoahirisha UKUTA kwa Mara ya Pili walisema wanaihamishia Kimataifa lakin sasa wamekuja na igizo jipya la kata funua na Lowassa anapongeza kuruhusiwa Mikutano ya Ndani na kuzuiwa ya Hadhara!
Upinzani kama upinzani hauwezi kudumu na mbinu moja tu. Leo watakuwa hivi na kesho inabidi wabadilike. Unayemsubiri Mbowe kuwa stagnant nakupa pole. Wote mnasema Chadema ni Saccos mnakosea sana. Kwanza lazima muelewe na kutambua tofauti kati ya ccm na chadema.
CCM ina privileges zote kiserikali kwa maana ya uongozi, fedha, majengo, dola, usafiri na nyingine nyingi. Chadema hawana vyote hivi. Leo hii CCM inapiga mikutano na kufanya siasa kwa mlango wa wakuu wa mikoa, mawaziri, rais, wakuu wa wilaya nk wakati chadema hata mikutano yao na matamko yao hufuatiliwa na jeshi la polisi kwa maana ya kubanwa vilivyo. Kwa hili Mbowe huko sahihi kabisa na furaha yangu tu ni jinsi anavyomudu nafasi yake.
Mbowe pekee ndiye aliyefanikiwa kupiga hatua kutoa chama katika ngazi ya chini hadi kuipaiisha na kuwa chama kikuu cha upinzani. Walianza na wabunge wachache sana na leo hii wanatishia kuchukua nchi. Swali kubwa la kujiuliza ni vipi wamilki majiji kama Mbeya na A rush a ? Kuna Miji mingi tu wanamiliki na hiyo yote inaoonesha kuwa watanzania wanawaelewa.
Huyo mwenye kiti wa Hai, naona amekosa tu uvumilivu na kusahau majukumu yake. Upinzani siyo lelemama. Anatakiwa kuwaomba radhi watanzania
chadema ni genge la wezi.Chama chakavu ni genge la mataahira.
Umeleza vizuri sana, kuwa mpinzani E.Africa ni zaidi ya kuwa gerezani.