Kilichosababisha Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Hai kujiuzulu hiki hapa

NgugiAchebe

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
1,032
Likes
680
Points
280
NgugiAchebe

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
1,032 680 280
Imeelezwa kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea Mwenyekiti wa Chadema huko HAI kujiuzulu, ni kutokana na kukerwa na utaratibu wa Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe katika kuwafanya wenzake kama watoto. Amesema mara ya kwanza mwenyekiti huyo alisema Kiongozi atakayekwamisha operesheni UKUTA atakiona, watu wakajiandaa lakini mwisho wa siku aliyetoa hivyo vitisho ndiye aliyeikwamisha operesheni hiyo.

Baadae tena ametangaza operesheni mpya hivi majuzi na ametoa onyo tena kuwa kiongozi atakayekwamisha atakiona. Mwenyekiti huyo aliyejiuzulu anasema KUENDELEA kushiriki miradi
ya mtu mmoja ktk chama ni kukosa dira na ajenda ndani ya chama.

Mwenyekiti huyo amehoji kuwa UDIKTETA tuliokuwa tukiupinga mpaka kuanzisha UKUTA umemalizika?? Je kama bado kwanini tunaanzisha kitu kipya ilihali cha kwanza hakijafanya kazi yake? Au tuliwadanganya watanzania kuwa kuna Udikteta kumbe
hakuna!!!? ...............

Viongozi wa upinzani huenda wote wanatumika bila wafuasi kujua, Mbona wanatuvunja moyo hivi?

Au Mimi ndio huwa siwaelewi
 
Chuck j

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Messages
2,285
Likes
590
Points
280
Chuck j

Chuck j

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2011
2,285 590 280
Kwa hiyoooo
 
mensaah

mensaah

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Messages
970
Likes
1,313
Points
180
Age
31
mensaah

mensaah

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2016
970 1,313 180
Nchi hii inavichekesho na vituko vingi ndio maana huwa sishabikii siasa uchwara za nchi hii, kwa upinzan wameanzisha kwa mfano UKUTA kabla ya kufanikisha walichopanga kinafutwa kinaleta kingine ambacho pia utekelezaji wake unatia mashaka the same kwa chama tawala kiongoz mmoja anatoa tamko kesho anatokea mwingine analipinga ama kulizuia sasa huwa najiuliza hawa watu kwel wako serious ama njaa ndio zinawafanya waingie kwenye siasa na sio uzalendo kama wanavyotaka waonekane kwenye jamii
 
M

mjogoro

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Messages
248
Likes
27
Points
45
Age
34
M

mjogoro

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2011
248 27 45
Imeelezwa kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea Mwenyekiti wa Chadema huko HAI kujiuzulu, ni kutokana na kukerwa na utaratibu wa Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe katika kuwafanya wenzake kama watoto. Amesema mara ya kwanza mwenyekiti huyo alisema Kiongozi atakayekwamisha operesheni UKUTA atakiona, watu wakajiandaa lakini mwisho wa siku aliyetoa hivyo vitisho ndiye aliyeikwamisha operesheni hiyo.

Baadae tena ametangaza operesheni mpya hivi majuzi na ametoa onyo tena kuwa kiongozi atakayekwamisha atakiona. Mwenyekiti huyo aliyejiuzulu anasema KUENDELEA kushiriki miradi
ya mtu mmoja ktk chama ni kukosa dira na ajenda ndani ya chama.

Mwenyekiti huyo amehoji kuwa UDIKTETA tuliokuwa tukiupinga mpaka kuanzisha UKUTA umemalizika?? Je kama bado kwanini tunaanzisha kitu kipya ilihali cha kwanza hakijafanya kazi yake? Au tuliwadanganya watanzania kuwa kuna Udikteta kumbe
hakuna!!!? ...............

Viongozi wa upinzani huenda wote wanatumika bila wafuasi kujua, Mbona wanatuvunja moyo hivi?

Au Mimi ndio huwa siwaelewi
Nahisi mtoa mada hii na baadhi ya wachangiaji wapo ktk chumba kimoja muda huu
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
19,499
Likes
33,914
Points
280
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
19,499 33,914 280
Walipoahirisha UKUTA kwa Mara ya Pili walisema wanaihamishia Kimataifa lakin sasa wamekuja na igizo jipya la kata funua na Lowassa anapongeza kuruhusiwa Mikutano ya Ndani na kuzuiwa ya Hadhara!
 
S

stigajemwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
448
Likes
423
Points
80
S

stigajemwa

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
448 423 80
Mazingira ya kuwndesha ukuta yalikuwa magumu sana wala hilo sitamlaumu kwa kushindwa
Hii kata funua wala siielewi ina maanisha nini ila kwa vyovyote hilo jina halina mvuto wala hamasa
 
semzei

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Messages
418
Likes
250
Points
60
S

semzei

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2015
418 250 60
Ulitaka damu imwagike ?Kuahirisha UKUTA kunaungwa mkono na watanzania wote kwani sio kila kudai haki lazima damu imwagike.
 
W

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Messages
5,666
Likes
1,698
Points
280
W

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2012
5,666 1,698 280
Usimwamin tena Mbowe... Anatumika na ccm...

Rejea migomo ya wapinzani aliyoongoza bungeni isiyo na tija na ambayo ilinufaisha ccm kwa kupitisha miswada na hoja pasipo kupingwa.

Hizo opereshen au kampen ni danganya toto...

Mbowe ni kikwanzo ndani ya chadema...
 
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Messages
9,021
Likes
11,674
Points
280
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2011
9,021 11,674 280
Yupo sahihi kabisa. Ukuta ulikuwa ndyo kila ki2
 
Forum statistics

Threads 1,273,283
Members 490,351
Posts 30,476,567