Kilichosababisha dhamana za Serikali (treasury bills) zibume ni nini?

hii umeiona?

The 35-days, 91-days and 182-days maturity were oversubscribed, which indicated that investors were seeking short term earnings.

On 35-days maturity, a total of Sh2 billion tendered against offered Sh1 billion while the 91-days maturity a total of Sh3.4 billion tendered against offered Sh1.7 billion.

For six months maturity, a total of Sh5.9 billion tendered against offered Sh3 billion.
Risk ya uncertainity ya gvt kwa muda mfupi inabebeka ndiyo maana wengi wamekimbilia hapo.

Huko kwingine unaweza kuwa unachuma janga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba wanunuzi wameshtuka au wanaogopa pale watakapoingiza fedha alafu bwana mkubwa akatae kulipa kwa mashariti kuwa wanunuzi wachunguzwe kwanza vyanzo vyao halali vya mapato vinginevyo , atakayeshindwa kudhibitidha vyanzo halali vya mapato fedha zitataifishwa
Exactly!
 
Risk ya uncertainity ya gvt kwa muda mfupi inabebeka ndiyo maana wengi wamekimbilia hapo.

Huko kwingine unaweza kuwa unachuma janga.

Sent using Jamii Forums mobile app
I fully agree mkuu
Ila bonds za 20 years zinakuwa oversubscribed na serikali inaringa. Mnada wa mwisho ilikuwa almost 93 kwa 100. waliofikia hapo wote walipata ila chini ya 92 wote walikosa
 
Sasa si uiweke hiyo taarifa yako uliyoiona km mwenzio alivyofanya?
Hatuelezi ukweli hapa tunapotoshana sana. Ukiiiona taarifa yote ya bot ambayo mleta Uzi ameiweka ni sehemu moja tu ambayo imedorola zingine zimezifanya vizuri sana. Tafiti na treasury bond za mataifa mengine ndio uje hapa utuambia za tz zimedorola. Lakini kwani za miaka mingine zilikuwaje?!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipaswa ww ulete hiyo

Back
Top Bottom