Kilichoponza Na Kinachowaponza Mheshimiwa na Dr Wakapoteza Heshima kwa Ukombozi wa 2


M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Messages
1,847
Likes
794
Points
280
Age
34
M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2013
1,847 794 280
Wanajamvi
Tupande tuteremke kwa harakati za ukombozi wa 2 Wanasiasa waliofanya sehemu yao huwezi msahau Mhe. Kabwe na katika wasomi Dr mkumbo kwenye chama cha CHADEMA.

Nini kinawaponza kwa kuwa mpaka sasa 90% Wanajiona wako sahihi

Hebu tuwajuze wajirekebishe waendeleze harakati baada ya ukombozi toka kwa wakoloni wakizungu taifa linusurike kutokana na mkoloni mweusi.

Kwa mtazamo wangu
1.Mhe. Zitto Kutaka kuwa Maarufu zaidi ya chama. mfano Chama kilitoa tamko ataandikiwa barua ajieleze kulikuwa na haja gani ya Press ya kujibu ambayo hujawasilishiwa ujibu kwa siku 14
-Kuna haja gani kukiuka taratibu za chama
-Dr Slaa alikuwa marufu na ni maarufu ila hajataka kuwa Maarufu kuliko CHAMA chake.
Mhe. na wote wanaokupenda tafakarini hili kwa kina

Dr. Mkumbo amekuwa na mchango mkubwa sana kama mshauri na sera ktk harakati za kushika dola

Tatizo jina lake la pili MKUMBO limesababisha anafuata sana mkumbo. Maneno unayotamkiwa wakati mwingine yanaumba kwani sifa mojawapo maneno yana nguvu;Aitwe jina moja. Dr KITILIA
 
M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Messages
1,847
Likes
794
Points
280
Age
34
M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2013
1,847 794 280
Nawe usiwapotezee kwani wanachofanya utadhani hawajui katiba ya chama kutoa hoja za ndani ya chama kwenye vikao
 

Forum statistics

Threads 1,252,160
Members 482,015
Posts 29,798,591