Kilichoongeza Bei ya mafuta ni tozo au kupanda kwa bei kwenye soko la dunia?

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
12,208
2,000
Sio bei ya mafuta ya nazi kama unavyokebehi. Bei niliyoitoa kwa mwaka huu haitofautiani sana na ya kwako. Bei za mafuta hupangwa tofauti kidogo, zile fluctuation zikiwa za soko la dunia huwa compensated na windfall iliyopatika kipindi cha nyuma. kwa hiyi bei ya mafuta katika nchi haiwezi kuachiwa ikayumba yumba kihivyo kwani ita affect sector nyingi zinazotegemea mafuta.
Uliandika kuwa mwaka jana bei ilikuwa dola 63.27 kwa pipa na mwaka huu bei ni $62.26 kwa pipa ukionyesha kuwa nei imepungua kidogo au iko almost constant, lakini ukweli ni kuwa bei ya mafuta imepanda sana kati ya mwaka jana na mwaka huu.

Sikiliza kipindi hiki cha NPR

na soma article hii

Oil Prices Are In Turmoil Right Now. Here Are 5 Things You Need To Know
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom