Elections 2010 Kilichonishtua Juu Ya Dr Slaa Pale Mwembetogwa

Majjid,Majjid,Majjid???

Nashangaa kwanini mpaka sasa hivi hujatafuta kamba ujitundike kulingana na mila zenu za kihehe. Kwamba una hasira sana na Dk.Slaa pamoja na wafuasi wake yaani wana CHADEMA.

Ndugu yangu Majjid naona unazidi kuongea pumba siku baada ya siku. Kadri uchaguzi unavyokaribia wewe na JK wako na mafisadi wenzenu mnazidi kujichanganya na kuongea utumbo tu mbele ya Watanzania.

Hi mhe. Majjid wewe ulisomea wapi hiyo taaluma yako ya Uandishi wa habari? Yaani taaluma ya UANDISHI WA HABARI WA KUGANGA NJAA. UANDISHI WA HABARI WA KUNUNULIWA NA KUAMBIWA UANDIKE NINI. UANDISHI WA HABARI WA KUMFURAHISHA BOSI WAKO.UANDISHIWA HABARI WA KUSEMA UONGO.UANDISHI WA HABARI WA KINAFIKI. !!!!!!!!!!!!!!

Kadri nijuavyo hakuna chuo kama hicho popote duniani kinachotoa cheti cha namna hiyo. WEWE NI KWAMBA UMENUNULIWA NA CCM,UMEHONGWA FULANA,KOFIA,T-SHIRT,NA SHILINGI 2,000 ZA ULANZI AU KOMONI ILI UIANDIKE VIZURI CCM NA MADUDU YA UFISADI,WIZI,UBAGUZI NA ULAGHAI ULIOKO NDANI YA CCM.
Huo ni ujuha ambao hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anaweza kukubaliana nao.

Mimi nakwambia kuwa hebu chukua mkanda wa 'SARAFINA' uuangalie usikie wale vijana wa ki-SOUTH au Bondeni kwa mzee Madiba walivyokuwa wakiimba kwa mori na jazba: "FREEDOM IS COMING TOMORROW". kabla ya Mandela kuwekwa huru.Yes, I can say now with confidence; Freedom is coming tomorrow for all Tanzanians. After 5 decades(50yrs) of miserable life,years of suffering,years of begging,years of hunger and thirsty,years of poor education, poor health facilities, poor economy,poor living,poor tec,etc, the chain is too long and Majjid you know these things but you pretends as if you don't know these things which are happening around you. Your hehe brothers and sisters are suffering, they have no good supply of water, they have no good health facilities at your Regional Hospital,your children are sitting on the floor,they have no text books,they have no uniforms, they have no laboratories, they have no exercise books,their parents including you can't afford to purchase even one. Go to those schools you call it Ward Secondary schools(shule za kata) No teachers, no nothing. Mr. Majjid, are you blind in such a way you can't see these things? Surely you aren't. You are just pretending to be blind,but you know the truth and all those facts! The problem with you is that you are CCM puppet to the core. You are writing inept/nonsense informations/propagandas to make your CCM and JK happy so that at the end of the day you gonna earn your daily bread.

Take note, I have said and I am saying once again,freedom is coming tomorrow! If this 2010 General Election will be FREE AND FAIR to its real meaning of free and fair, then CCM have no match!

Wasaalamu.
 
i dedicate this to Maggid Mjengwa...............................
 
Kikwete. RIZi na MAggid nani anacontrol mahakama? Be serious!

Wewe acha kujibu maswali kama umetoka usingizini. Wazungu wanasema perception is reality, hivi unafikiri Hakimu anaweza kumhukumu Mwakalebela wakati Boss wake(Rais) amedeclare ya kuwa ni mwananchama safi. The Dreamer , please try to think outside the box! It is imperative to understand that as a president, Kikwete has unlimited power and thus the fate of that Hakimu life's (professionaly) lies on Kikwete's hands. Trust me, that picture is enough to taint that trial.
 
Nashtushwa na Maggid Kutoshtushwa na kauli hizi za JK kwa Mwakalebela
 
kinamama_tunduma.jpg

slaa_in_tunduma.jpg

Hizi picha kwa hisani ya mwana-JF MUGUMU -kuhusu mapokezi ya Dr. Slaa (CHADEMA) huko Tunduma, Mbeya nyanda za juu kusini pia hazikustui mwanaCCM wa Mwembetogwa?
 
Namkumbuka mwandishi mmoja maarufu James Hadley Chase aliandika novel moja yenye Title inayosema, ''This is For Real''.
Ninapoangalia hizi picha za mikutano ya Dr. Slaa najisikia mwemwere,mwemwere.

Natamani nipige kelele za furaha na shangwe as if Dr. Slaa tayari ameshaingia Ikulu!
Natamani hiyo siku ya kuapishwa kwa Dr. Slaa ifike haraka. Pale kwenye viwanja vya Ikulu,Jaji akiwa amevalia joho lake Jeusi lililopambwa na mishazari miekundu na kofia yake nyeupe ya wigi akimwapishwa Dr.Slaa for Tanzania president.

Naona Dr. Slaa ananyanyuka na kushika Biblia Takatifu na kutamka, ''I Dr.Wilbroad Peter Slaa, I do solemnly swear that I will faithfully execute the office of President of the United Republic of Tanzania, and will to the best of my ability, preserve, protect and defend the Constitution of the United Republic of Tanzania,Oh Lord God help me."

Itakuwa kama watu wanaota vile lakini itakuwa kweli, It will be Really. Naona mafisadi wote watakuwa wameshakimbia nchini kwenda ughaibuni walikowekeza mabilioni (wao wanaita VIJISENTI )waliyopora toka kwenye BENKI KUU na kwenye ten percent za mikataba mibovu ya madini na uuzaji holela wa mashirika/makampuni ya umma! Nawaambieni hapatakalika kwa mafisadi wa CCM. Naona Kikwete atakimbilia kwa Al-Bashiri pale Sudan au kwa rafiki yake Walker Bush.

Freedom is coming tomorrow!I am looking for that day!

CHAGUA DR.SLAA,CHAGUA CHADEMA KWA MAENDELEO NA DEMOKRASIA YA KWELIIIIII!
 
Back
Top Bottom