Kilichonikera Miss Tanzania

Avatar Myg

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
675
118
Miss Tanzania imetawaliwa na nyimbo (background) za kihindi cjui kiarabu tuu, Wakibadilisha wanaweka west Africa... Wanawaza nn hawa waandaaji... kwa hili wamenikera aisee...
 
Miss Tanzania imetawaliwa na nyimbo (background) za kihindi cjui kiarabu tuu, Wakibadilisha wanaweka west Africa... Wanawaza nn hawa waandaaji... kwa hili wamenikera aisee...
<br />
<br />
Miss Tz is happening back on the day sasa tumebakiwa na MISSED TANZANIA
 
<br />
<br />
100,000?????? Wachagga wameingia kweli!???

Wachagga hawawezi kulipa hela yote hiyo kuangalia vichupi Kama watakuwa wameingia itakuwa kwenye deal la kutoa huduma kama ya chakula, mapambo, music n.k
 
VODACOM TZ wanajidai kutoa rambirambi kwa wahanga wa Z'bar hivi tuwaeleweje?au hizo 100,000 walishindwa kuzivumilia wakashindwa kuahirisha shindano uchwara?usanii mtupu hakukuwa na kipya sanasana inazidi kutoa washindi ambao tuna wasiwasi na uwezo wao wa kucompete miss world
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom