yaani kafa kwa mateso sana ila Mungu ni mwema yuko mbinguni sasa anapata raha milele, wanabaki na majuto yao milele![Itategemea kama alikuwa kwenye njia, kweli na uzima]
hakuna kitu kama hicho, yule ni mtoto, malaika, hajui dhambi huyu, yaani ameenda moja kwa moja mbinguni hata awe anasali wapi haijalishi Mungu ni wa hururmayaani kafa kwa mateso sana ila Mungu ni mwema yuko mbinguni sasa anapata raha milele, wanabaki na majuto yao milele![Itategemea kama alikuwa kwenye njia, kweli na uzima]

Mkuu Kavulata hoja yako inahitaji MJADALA MPANA!Mtoto Nasra kauawa na nani? Aliyemweka kwenye boski au aliyemtoa na kumpeleka hospitali
Kaishi kwenye boski kwa miaka 4 akiwa hai, lakini kakaa kwenye hospitali zetu kwa wiki 2 tu akafariki. Wapi bora kwenye boksi au hospitali?
Hiki ni kielelezo tosha kuwa tanzania jama hakuna hospitali wala wataalam. Kwanini wafanyakazi wa hospitali wasiunganishwe mahabusu na wale waliomuweka Nasra kwenye boksi?
Ukiumwa bora ukae kwenye boksi utasogeza siku kuliko kwenda hospitali zetu
Mtoto Nasra kauawa na nani? Aliyemweka kwenye boski au aliyemtoa na kumpeleka hospitali
Kaishi kwenye boski kwa miaka 4 akiwa hai, lakini kakaa kwenye hospitali zetu kwa wiki 2 tu akafariki. Wapi bora kwenye boksi au hospitali?
Hiki ni kielelezo tosha kuwa tanzania jama hakuna hospitali wala wataalam. Kwanini wafanyakazi wa hospitali wasiunganishwe mahabusu na wale waliomuweka Nasra kwenye boksi?
Ukiumwa bora ukae kwenye boksi utasogeza siku kuliko kwenda hospitali zetu
Mkuu, hakwepi mtu hapa---kama wakikwepa kitanzi lazima wafungwe kifungo cha maisha kwa makosa haya waliyoyatenda hawa MBWA!
Mkuu, kwa mazingira ya kesi hii sioni hawa MBWA watapanyokea wapi kitanzi. Kuna kila dalili kwamba kifo cha mtoto kimetokana na mateso aliyopewa na hao wanahizaya watatu....hawaponi katika kesi hii...lazima waende na maji.Ili tu atiwe hatini kwa kuua kwa kukusudia lazima vitu viwili vianishwe bayana! NIA & TENDO
Kifo kitokeapo ambacho kinakuwa kimesababishwa na mtu kinafanya makosa mawili KUUA KWA KUKUSUDIA & KUUA BILA KUKUSUDIA, makosa haya yana adhabu mbili tofauti...adhabu ya kifo kwa kuua kwa kukusudia na adhabu ya kifungo cha maisha kwa kuua bila kukusudia.
Na tukumbuke KIFO ili kihusianishwe moja kwa moja na mshtakiwa ni lazima ushahidi ea dane na tukio husika na urandane....... hebu kidogo tufikiri tofauti....
." UZEMBE WA NESI KUTOKUMCHOMA SINDANO KWA WAKATI NDIO ULIOSABABISHA KIFO..."
Umeona hapo? Uchunguzi unaweza ukathibitisha vinginevyo na hivyo ndipo niliposema ni mwanya kwa watu hawa kutoka na kuachiwa huru
Kesi za kimahakama huwa haziendeshwi na kufikiwa maamuzi kwa hisia bali ushahidi usio na shaka ndani yake (ukiacha mazingira ya rushwa ambayo yameota mizizi ktk mahakama) ili mtu
Ili tu atiwe hatini kwa kuua kwa kukusudia lazima vitu viwili vianishwe bayana! NIA & TENDO