Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,299
- 13,333
Siku zote huwa nasema na nitaendelea kusema hata mnipige ban nitasema tu V.U hamnaga kitu kichwani! Yani ni zeroKwa maana hiyo unataka kusema vita ambavyo Marekani alipagana Afghanistani na kusababisha mauaji ya watu wengi,watu wale walikuwa na hatia,au vita vilivyopiganwa Iraq na watu wengi kufa,watu wale walikuwa na hatia ?
Jibu ndio,au hapana,no story.
.
America huwa anaenda kupambana na civilians au kulinda civilians pamoja na kuangamiza magaidi kwa namna moja ama nyingine?
We unadhani kukinuka hapa TZ hawatokuja?
V.U kuweni na akili hata ndogondogo