Kilichomponza Nay wa Mitego kublokiwa na Harmonize

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,545
Nay wa Mitego amesema yeye ni mtu ambaye hapindishipindishi maneno na kama ukikosea au ukimzingua atakuchana ukweli labda hiyo ndiyo sababu ya Harmonize kujishtukia na kumblock Instagram.

"Mimi sina tatizo na Harmonize, nipo straight sana hata kama ni mshkaji wangu ukinizingua au ukinikosea nitakwambia, pia ukifanya kitu cha ajabu nikahisi naweza kuzungumzia nitasema na usiponielewa unaweza ukanichukia, napenda kuzungumza kitu kilicho sawa"

"Sijawahi kuwa na tatizo na Harmonize japokuwa nimeona ameniblock Instagram, ila nikifanya kitu changu ukajihisi basi kinakuhusu hata kama sitakutaja" ameeleza Nay wa Mitego
 
Ushasema mshikaji wako kwani huwezi mfuata personal ukamwambia na si huku mitandaoni, manake yy mama watoto wake Skyner anadai ney hamlipii ada mwanae, akamwambia ada haidaiwi instagram ,sasa kuna tofauti gani kati alicho kifanya yeye na Skyner mama watoto wake.

Mshikaji wako malizana nae personal mchane mkiwa wawili,sasa kuyaleta mitandaoni huo ni umama.
 
Huyu jamaa mimi nilishasema kuwa aliforce muziki na hata imba yake ni ya kutumia nguvu sana kukubalika

Ninachompendea tu kidogo ni kuwa ana uanaharakati katika kutetea wanyonge at times
Huo unatokana na maisha yake ya Feli, kuosha boti za wavuvi kwa buku
 
Kwa Ney wa mitego jina lisipotee kwasababu kuna nyimbo anatoa?

Ama ni jina kutopotea bila faida yoyote?

Yaani aendelee tu kusikika sikika, watu wasisahau kwamba kuna mtu anaitwa Ney...
 
hilo jitu huwa jinga kinoma linajifanyaga lenyewe ndio lipo sahihi kwa kila jambo wakati lina maskendo yke mengi ya kisenge
 
Back
Top Bottom