Raia mdogo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2018
- 1,344
- 1,435
Huyo ilitakiwa achezee kipigo hasa watu wanataka kuzika unawaambia atafufuka na hafufukiNakumbuka kisa cha Mwinjilisti Enoch Mwanyonga, dah.... Akaenda msibani, akawaambia wafiwa, acheni kulia, marehemu hajafa, amelala tuuu.... Hebu fukieni kaburi, jamaaa wakamwambia usitutanie, mfufue Kwanza ndipo tufukie kaburi.
Jamaa akapiga dua za kufa mtu, aliyelala hakuamka. Kidogo achezee mikwaju