Kilichomkuta jirani yetu baada ya kununua gari kwa mtu nimemwonea huruma sana

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,601
4,086
[em


Wakuu,


Kama unataka kununua ndinga,

Hasa ikiwa nd'o ndinga yako ya kwanza-


Usinunue used_bongo,

Jilipue tu uagize used_japan.


Ni bora ununue iliyotembea km. 130,000 Japan kuliko hata iliyotembea km. 130 Bongo.


Wabongo wako vema sana kwenye kuuziana matatizo kwa bei nafuu !!!!


Fuata huu ushauri utakuja kunishukuru.

------------


Mimi siyajui magari

(na kiukweli hata baiskeli nd'o nimenunua mwaka huu).


Ila nashukuru kwa kupata taarifa dhahiri za watu waliopigwa kwa kuuziwa magari yaliyopuliziwa rangi, kubadilishwa siti_kava na kurudishwa miliage nyuma ili yaonekane hayajachoka,


Kumbe magari yalishawahi kugongana hadi na semi_trela,

Yakabondeka vibaya-

Wana wakaaenda kuyanyooshanyoosha bodi pale Tabata na kuyapulizia rangi vizuri,


Kisha mambugila wanapigwa hela,

Wanaenda nayo huko kwao same_milimani,


Wanaendesha wiki 3 tu,

Ngoma inapaki foreva !!!








"Ila maisha lazima yaendelee."
 
Ni wachache wanaouza magari kwa kulazimika kuuza labda kwa sababu ya shida kwa wakati huo. Wengi mpaka anauza gari ujue kuna kitu hakimfurahishi katika hilo gari, hapa inaeza ikawa ni ubovu flani endelevu au kwa wengine unywaji wa mafuta usio wa kawaida. Changamoto ni kumpata muuzaji muaminifu wa kukwambia ukweli ni nini hasa kimemfanya kuamua kuuza

the Legend☆
 
Ni wachache wanaouza magari kwa kulazimika kuuza labda kwa sababu ya shida kwa wakati huo. Wengi mpaka anauza gari ujue kuna kitu hakimfurahishi katika hilo gari, hapa inaeza ikawa ni ubovu flani endelevu au kwa wengine unywaji wa mafuta usio wa kawaida. Changamoto ni kumpata muuzaji muaminifu wa kukwambia ukweli ni nini hasa kimemfanya kuamua kuuza

the Legend☆
NA HAPA NDIPO WANAPOPIGWA WENGI BONGO!!!

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 

WAKUU,

KAMA UNATAKA KUNUNUA NDINGA,
HASA IKIWA ND'O NDINGA YAKO YA KWANZA-

USINUNUE USED_BONGO,
JILIPUE TU UAGIZE USED_JAPAN.

NI BORA UNUNUE ILIYOTEMBEA KM. 130,000 JAPAN KULIKO HATA ILIYOTEMBEA KM. 130 BONGO.

WABONGO WAKO VEMA SANA KWENYE KUUZIANA MATATIZO KWA BEI NAFUU !!!!

Fuata huu ushauri utakuja kunishukuru.
------------

MIMI SIYAJUI MAGARI
(Na kiukweli hata baiskeli nd'o nimenunua mwaka huu).

ILA NASHUKURU KWA KUPATA TAARIFA DHAHIRI ZA WATU WALIOPIGWA KWA KUUZIWA MAGARI YALIYOPULIZIWA RANGI, KUBADILISHWA SITI_KAVA NA KURUDISHWA MILIAGE NYUMA ILI YAONEKANE HAYAJACHOKA,

KUMBE MAGARI YALISHAWAHI KUGONGANA HADI NA SEMI_TRELA,
YAKABONDEKA VIBAYA-
WANA WAKAAENDA KUYANYOOSHANYOOSHA BODI PALE TABATA NA KUYAPULIZIA RANGI VIZURI,

KISHA MAMBUGILA WANAPIGWA HELA,
WANAENDA NAYO HUKO KWAO SAME_MILIMANI,

WANAENDESHA WIKI 3 TU,
NGOMA INAPAKI FOREVA !!!





"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
acha tu! ushauri usinunue gari kwa mtz mwenzako!! ata wakisema alikuwa anamiliki mwanamke😁😁😁
 
Back
Top Bottom