Kilichomkumba aliyekuwa Rais wa Liberia hayati Samuel Kanyon Doe....

Hapa tulipo as a continent tutashuhudia uwajibikaji mkubwa wa viongozi kuliko wakati mwingine wowote.
Kweli kabisa hawa viongozi wa sasa inabidi wajifunze kutokana na makosa yaliyofanywa na viongozi wenzao kama Doe.
 
Its true what you say lakini sometimes labda kuna mtu ana-information ambazo haziko wikipedia.., mfano huenda kuna aliyekuwa girlfriend au bodyguard wake humu JF..., you never know until you ask...,

Lakini from the answears mpaka sasa nadhani hakuna hao watu humu :)

Ni sawa maana Wikipedia is still being updated. Ila kwa hapa JF girl friend wa Samuel Doe,mm..,sidhani.
 
The founder of the defunct Independent National Patriotic Front of Liberia (INPFL) Prince Y. Johnson has finally disclosed how the late former President Samuel K. Doe's corpse was buried.
Appearing at the Truth and Reconciliation Commission (TRC) Thematic and Institutional Public Hearing yesterday, the former warlord, now senior Senator of Nimba County, startled the audience when he revealed that the body of the late former President Doe was burnt and his ashes thrown into a river.
http://allafrica.com/stories/200808290064.html
 
WanaJF, nilikuwa napitia pitia documentary kazaa na kichwani nilikuwa nawaza tu kwanini viongozi wetu hawajifunzi kutokana na hawa watawala walivyofanyiwa? Au ni ukiziwi ama nini?

Saizi kila kukicha vilio haviishi, kuna tofauti gani wakati wa biashara ile ya utumwa na kipindi hiki cha ufisadi?

Tafadhali sikiliza kwa makini maswali aliyokuwa anaulizwa Samuel Doe kabla hawajamliza. Kumbuka this was more than 2 decades ago kipindi ambacho technolojia ya habari ilikuwa bado lakini watu walikuwa na hasira naye vibaya sana.

Sasa hivi ambapo kuna kila aina ya vyanzo vya habari bado viongozi wetu wanaona nii njia nzuri kuficha ukweli, ni vizuri kufanya mambo yasiyowanufaisha wananchi! bado viongozi wetu wanaishi kwa propaganda hadi lini?

Huyu jamaa nafikiri hakutegemea siku kama hiyo ingefika,ubabe siku zote mwisho wake siyo mzuri. Kuna moja niliiona walivyokata sikio.Duh!Jamaa walikuwa na machungu nae sana.Tatizo viongozi wetu wanajisahau sana.
 
Sijui kama viongozi wetu huwa wanakumbuka jinsi watu wanavyokuwa na matumaini wakati wa kampeni, na hiyo ndiyo dhambi kubwa inayowatafunaga wengi! Utakuta ahadi chungu nzima kumbe ni za kilaghai!! We are all human being, why treating others like dogs and others like angles who never go the toilets? Why if you are a leader can't help the people sorrounding you to improve their living standards? Viongozi wana nguvu za kufanya mabadiliko lakini hawzitumii hizo nguvu. Watu wako tayari kwa mabadiliko, viongozi hawako tayari!!
 
WanaJF, nilikuwa napitia pitia documentary kazaa na kichwani nilikuwa nawaza tu kwanini viongozi wetu hawajifunzi kutokana na hawa watawala walivyofanyiwa? Au ni ukiziwi ama nini? Saizi kila kukicha vilio haviishi, kuna tofauti gani wakati wa biashara ile ya utumwa na kipindi hiki cha ufisadi?
Tafadhali sikiliza kwa makini maswali aliyokuwa anaulizwa Samuel Doe kabla hawajamliza. Kumbuka this was more than 2 decades ago kipindi ambacho technolojia ya habari ilikuwa bado lakini watu walikuwa na hasira naye vibaya sana. Sasa hivi ambapo kuna kila aina ya vyanzo vya habari bado viongozi wetu wanaona nii njia nzuri kuficha ukweli, ni vizuri kufanya mambo yasiyowanufaisha wananchi! bado viongozi wetu wanaishi kwa propaganda hadi lini?

Bofya hapa SAMUEL DOE

Tatizo la hawa viongozi hasa hasa wa ki Africa huwa wanadhani watakaa madarakani milele. So arobaini yao ikifika huwa ni aibu na fedheha kubwa kwao. Doe anaulizwa : 'I am asking you, what happened to our economy? Tell the Liberian people! Majibu ya msingi hakuna! Alafu DOE yuko uchi wa nyama. Aibu kweli kweli.
 
Kaulizwa swali hilo kashindwa hata kujibu!! Matokeo yake hasira zikawapanda zaidi. He didn't know what he was doing at the state house zaidi ya kuibia raia maskini na wasiokuwa na uwezo wa kupata milo 3. This is very similar to our leaders, ukimuuliza mbunge swali kama hilo wengi hawata jibu zaidi ya kuanza kujiuma uma na kusema serikali mmmmhhh serikali!! Matokeo yake unakuta sehemu moja isipotoa raisi wa ncho au kiongozi wa juu wa nchi inaendelea kuwa nyuma.
 
Cx76eOBHTVs
[video=youtube_share;Cx76eOBHTVs]http://youtu.be/Cx76eOBHTVs[/video]
 
Duh,pressure imenipanda.Hii wampelekee baba Ritz,akumbuke anavyoitumbukiza nchi shimoni huku umasikini ukizidi kuwaandama watz, huku wao CCM waking'ang'ania madaraka.Hii hali naiona TZ haiko mbali sana.Ngoja huu mfumuko ufike50% mishahara ileile, ndio watakapojua kuwa "Usimuamshe aliyelala,ukimuamsha utalala wewe"
 
WanaJF, nilikuwa napitia pitia documentary kazaa na kichwani nilikuwa nawaza tu kwanini viongozi wetu hawajifunzi kutokana na hawa watawala walivyofanyiwa? Au ni ukiziwi ama nini? Saizi kila kukicha vilio haviishi, kuna tofauti gani wakati wa biashara ile ya utumwa na kipindi hiki cha ufisadi?
Tafadhali sikiliza kwa makini maswali aliyokuwa anaulizwa Samuel Doe kabla hawajamliza. Kumbuka this was more than 2 decades ago kipindi ambacho technolojia ya habari ilikuwa bado lakini watu walikuwa na hasira naye vibaya sana. Sasa hivi ambapo kuna kila aina ya vyanzo vya habari bado viongozi wetu wanaona nii njia nzuri kuficha ukweli, ni vizuri kufanya mambo yasiyowanufaisha wananchi! bado viongozi wetu wanaishi kwa propaganda hadi lini?

Bofya hapa SAMUEL DOE
kwa hiyo unataka kusema kuwa yanaweza kumkuta nani? kama ya samuel doe
 
kwa hiyo unataka kusema kuwa yanaweza kumkuta nani? kama ya samuel doe
Wapo viongozi wengi, ni vogumu kumkuta kama ya Samuel Doe kwa sasa kutokana na ustarabu wa watu uliopo kwa sasa! Ila ukifanya transformation ya yaliyomkuta kipindi hicho utaweza kupata ile equivalence yake.
 
Kadiri unavyokuwa juu kabisa na kujisahau ndivyo kuanguka kwako kunavyokuwa kwa maumivu na aibu zaidi. Inauma kuona hali kama hiyo inamfika mtu aliyebeba dhamana ya kuongoza nchi, iwe kwa kujichukulia madaraka kwa mtutu wa bunduki, wizi wa kura au kwa ridhaa ya wananchi.

Natamani Doe na Gaddaffi wangeshitakiwa mahakamani, lakini viongozi wakumbuke si kila siku ipo fursa ya kufikishwa mahakamani kabla ya wananchi kukuhukumu wenyewe - na wao wanajua kuhukumu kuliko mahakama. Ole wao wasikumbwe na ghababu za wananchi.
 
Wapo viongozi wengi, ni vogumu kumkuta kama ya Samuel Doe kwa sasa kutokana na ustarabu wa watu uliopo kwa sasa! Ila ukifanya transformation ya yaliyomkuta kipindi hicho utaweza kupata ile equivalence yake.
Usisahau yaliyowakuta Sadam Hussein, Gaddaffi na Abdalla Saleh wa Yemen tena hivi karibuni. Hakuna ustaarabu kiasi hicho, kama ambavyo wananchi wanamchoma moto kibaka na kumbonda kwa matufali, wanaweza kumfanyia yeyote wakipata fursa. Tuombe tu petu yasifikie huko.
 
Tatizo la ukabila ambapo watu wanaelekeza loyalty yao kwa kabila kwanza kabla ya nchi linafufuka barani Afrika, lakini limechukua sura pia ya udini. Tumeona kinachotokea Sudani Kusini (ukabila Dinka dhidi ya Nuer) na Afrika ya Kati (udini). Cheche za yote mawili zipo Tanzania pia: udini (hasa mijini ambako kabila ni vigumu kujikusanya) na ukabila (tumeona kwenye mapigano ya Kiteto, na tunasikia sana tuhuma kwenye baadhi ya vyama vya siasa). Vyombo vya usalama vinapaswa kutambua na kuzima cheche hizi kukingali mapema.
 
Huyu jamaa kateswa sana,ila naye alijipeleka kirahisi mno.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom