Kilichomkumba aliyekuwa Rais wa Liberia hayati Samuel Kanyon Doe....

Its true what you say lakini sometimes labda kuna mtu ana-information ambazo haziko wikipedia.., mfano huenda kuna aliyekuwa girlfriend au bodyguard wake humu JF..., you never know until you ask...,

Lakini from the answears mpaka sasa nadhani hakuna hao watu humu :)
ahahahahaaah!!
 
Jamani sisi wengine ni new generation na historia ya dunia hatuijui vizuri.
Nimekuwa nikisikia story nyingi zinazohusu viongozi kadhaa wa Africa.
Leo ningependa sana kujua history ya Samweli Doe ambae aliwahi kuwa
rais wa Liberia!.
1.kwanza aliingiaje madarakani na ni mwaka gani?
2.Alikuwa ni msomi au mbumbumbu?
3.Je, ni kweli alikuwa dictator?
4.Aliondolewa madarakani kwa sanduku la kura au alipinduliwa?
5.Je, ni kweli aliburuzwa barabarani huku akikatwa viungo vyake kimoja
badala ya kingine? au ni uzushi tu?
6.Mwisho- aliondoka ikulu ya Liberia mwaka gani na kufa mwaka gani?

MaGreat thinker naomba mnisaidie kwa hili na faida kwa watu wengine ndani ya jf.

https://www.jamiiforums.com/interna...barak-post1557401.html?highlight=#post1557401



mwa.. MAFISADI.!!..
40154_139869289396881_100001214312304_219299_768121_n.jpg
36148_138841592832984_100001214312304_214761_3838170_n.jpg
Samuel Kanyon Doe (May 6, 1951 – September 9, 1990) was the 21st President of Liberia, serving from 1986 until his assassination in 1990. He had previously served as Chairman of the People's Redemption Council from 1980 to 1986. He was the ...first indigenous head of state in Liberian history.

Doe was an ethnic Krahn, part of a rural tribe in inland Liberia. The Krahn are a minority ethnic group but part of the large majority of the Liberian population that are of indigenous descent. These groups faced economic and political domination by the Americo-Liberian elites, who were descended from free-born and formerly enslaved blacks from America who founded Liberia in 1847.

Under Doe, Liberian ports were opened to Canadian, Chinese and European ships, which brought in considerable foreign investment from foreign shipping firms and earned Liberia a reputation as a tax haven.

Doe attempted to legitimize his regime with a new constitution in 1984 and elections in 1985. However, opposition to his rule only increased, especially after the 1985 elections which were declared to be fraudulent by the U.S. and other foreign observers. In the late 1980s, as fiscal austerity took hold in the United States and the threat of Communism declined with the waning of the Cold War, the U.S. became disenchanted with entrenched corruption in Doe's government and began cutting off critical foreign aid to Doe. This, combined with the popular anger generated by Doe's favoritism toward his native Krahn tribe, placed him in a very precarious position.

A civil war began in December 1989, when rebels intent on toppling Doe entered Liberia. Doe's forces were defeated, and in September 1990 he was captured, tortured, and killed.
Cont
1980 coup, new government

On April 12, 1980, Doe led a military coup, killing President William R. Tolbert, Jr. in the Executive Mansion. Many claim that Doe and some of his men disemboweled President Tolbert in his bed while he slept. Twenty-six of Tolbert's supporters were also killed in the fighting. Thirteen members of the Cabinet were publicly executed ten days later. Hundreds of government workers fled the country, while others were imprisoned.

The early days of the regime were marked by mass executions of members of Tolbert's deposed government. One of Doe's first acts after seizing power was to order the release of about 50 leaders of the opposition Progressive People's Party who had been jailed by Tolbert during the rice riots of the previous month. Shortly after that, Doe ordered the arrest of 91 officials of the Tolbert regime. Within days, eleven former members of Tolbert's cabinet, including Tolbert's brother Frank, were brought to trial to answer charges of "high treason, rampant corruption and gross violation of human rights."[1] Suspension of the Constitution allowed these trials to be conducted by a Commission appointed by the state's new military leadership, with defendants being refused both legal representation and trial by jury.

The spectacle was videotaped and seen on news reports around the world. The video shows Johnson sipping a Budweiser as Doe's ear is cut
 
Doe alichukiwa kwa sababu tu alikuwa Mu-Islaam. Na ndiyo maana wakamuuwa na mwili wake kuwekwa hadharani na tena uchi kama hapo juu kwenye Picha. Si unaona hata picha ya Kikwete inawekwa hapo pamoja?

Jamaa alikuwa na mpango wa kueneza dini nchini na wakamuona ni adui mkubwa sana. Watu wa west ni watu hatari sana na wanapigana usiku na mchana na Waislaam. Jamaa alikuwa kama Idd Amin kabisa. Mtu safi kabisa na mwamini dini.

Kama alivyokuwa Doe, hata Tanzania kila akija Rais Mu-Islaam, wanamwandama hivyohivyo. Ona sasa Kikwete anaandwama kila kona kwa dini yake. Umeme ukikosekana ingawa Waziri ni Mkristo, lawama anabebeshwa Rais kwa sababu tu ni Mu-Islaam. Hii sijui imekaaje?

Nipo katika kufanya utafiti maana nimeambiwa kuwa Hitler pia alikuja kuwa Mu-Islaam na ndiyo maana akaanza vita na Wayahudi. Alipoanza kueneza dini, basi alianza kula KIBANO cha nguvu na akafukuzwa mbali kabisa. Wenzake wakaenda Egypt na kuisaidia ile nchi kijeshi na wakawa na ndege za kijeshi kali sana tayari kuishambulia Izrael. Ila kama kawaida, Wakristo na Wayahudi wakaja na kuzishambulia zote kabla hazijaruka............... Hawa Ma-ASKOFU jamani......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Doe alichukiwa kwa sababu tu alikuwa Mu-Islaam. Na ndiyo maana wakamuuwa na mwili wake kuwekwa hadharani na tena uchi kama hapo juu kwenye Picha. Si unaona hata picha ya Kikwete inawekwa hapo pamoja?

Wacha uzushi wewe, Samuel muislamu? Huyu jamaa alikuwa katili sana na kuua wale wafuasi wa William Tolbert kivibaya vibaya.

William Tolbert mwenyewe inasemekana walimkata vipande vipande na kumtembeza hadharani bila ya aibu. Na hivyo ndivyo walivyomfanyia wale supporters wa Tolbert ili kulipiza kisasi.

Kwa kweli hii ya Doe inaonyesha kwamba Mwenyezi Mungu alimuhukumu hapa hapa Duniani.
 
Bitimkongwe, mbona unakuwa kama wanawake BLONDE?

Mambo meupe kabisa lakini bado hawaelewi?

Wee ni great thinker, soma uelewe. Mambo yako wazi kabisa na wee bado huelewi?

Namkumbuka huyu jamaa na AFRO lake, Raizon na mchezaji mpira mzuri sana...... Captain Doe.
c9749-2.jpg


Wacha uzushi wewe, Samuel muislamu? Huyu jamaa alikuwa katili sana na kuua wale wafuasi wa William Tolbert kivibaya vibaya.

William Tolbert mwenyewe inasemekana walimkata vipande vipande na kumtembeza hadharani bila ya aibu. Na hivyo ndivyo walivyomfanyia wale supporters wa Tolbert ili kulipiza kisasi.

Kwa kweli hii ya Doe inaonyesha kwamba Mwenyezi Mungu alimuhukumu hapa hapa Duniani.
 
Hivi ndivyo Samuel doe alivyochukua madaraka.
 
Last edited by a moderator:
Wacha uzushi wewe, Samuel muislamu? Huyu jamaa alikuwa katili sana na kuua wale wafuasi wa William Tolbert kivibaya vibaya.

William Tolbert mwenyewe inasemekana walimkata vipande vipande na kumtembeza hadharani bila ya aibu. Na hivyo ndivyo walivyomfanyia wale supporters wa Tolbert ili kulipiza kisasi.

Kwa kweli hii ya Doe inaonyesha kwamba Mwenyezi Mungu alimuhukumu hapa hapa Duniani.

Mkuu,
ukiangalia post 17 video basi William Tolbert alitwangwa risasi hadharani na wenzake...kama walimkata vipande basi ni baadae...
 
Bitimkongwe, mbona unakuwa kama wanawake BLONDE?

Mambo meupe kabisa lakini bado hawaelewi?

Wee ni great thinker, soma uelewe. Mambo yako wazi kabisa na wee bado huelewi?

Namkumbuka huyu jamaa na AFRO lake, Raizon na mchezaji mpira mzuri sana...... Captain Doe.
Hewalla nimeelewa ijapokuwa nywele zangu ni nyeupe kwa sababu ya uzee na siyo rangi yake ya asili.
 
Hapa utapata sehemu ndogo ya mateso aliyopata Samuel Doe akihojiwa kabla ya kifo chake.

 
Last edited by a moderator:
Jamani nashindwa kuamini hizi picha mlizonitumia? Hivi ni kweli huyu alikua Rais?
Nimefatilia story ya Doe,Thomas sankara,Mobutu soseseko,Iddi amini,Hitler nk. wote
hawa walikuwa jeuri na wababe kwa kujivunia vyombo vya ulinzi! leo hii wako wapi?
Hivi hawa viongozi wetu wa kiafrica hawajaiona history hii ya wababe hawa? museveni
uko wapi? Hosni mubarak uko wapi? ccm mko wapi?
Ahsanteni sana kwa muliotupa file hii ya Samuel Doe
 
Hapa tulipo as a continent tutashuhudia uwajibikaji mkubwa wa viongozi kuliko wakati mwingine wowote.
 
dah nimecheka slogan ya kuombea kura ya Taylor,he killed my mom,he killed my dad,but ill vote for him
 
Back
Top Bottom