Kilichomkimbiza Mkwasa Taifa Stars ni Azam FC

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,056
10,721
Kuna taarifa chini kapeti toka Azam FC kuwa Mkwasa ni kati ya makocha walioomba na anayepigiwa chapuo na baadhi ya "maofisa", kuifundisha Azam FC.

Hili ndio linaoloneka kuwa sababu kubwa ya Kocha huyu wa Taifa Stars kubwaga manyanga ili awe huru.

Hata hivyo kwa rekodi mbovu aliyoweka Taifa Stars ni ngumu kupata ukocha mkuu lakini upo uwezekano mkubwa kupewa ukocha msaidizi. Kilidokeza chanzo cha taarifa hii.
 
Back
Top Bottom