Kilichomfanya Magufuli kukengeuka na kuanza kuwaogopa Wapinzani hiki hapa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,383
217,466
KAHAWA kidogo na WAZIRI wa MAMBO ya NDANI (KIVULI) @godblessjlema1 leo wakati TU ( 800 X 640 ).jpg

Pamoja na juhudi zake binafsi , za serikali anayoiongoza na za chama chake za kuunda kesi za kizushi dhidi ya Wapinzani wake wa kisiasa kwa kushirikiana na ofisi ya DPP pamoja na Jeshi la Polisi huku wengine akiwafunga jela, lakini bado ameshindwa kuumaliza upinzani na sasa amekiri hadharani kwamba hali ya CCM si shwari huku akiunadi hadharani upinzani kwamba una nguvu kubwa ambapo amewaomba viongozi wa chama chake kutobweteka.

Siri ya Upinzani kupenya kwenye siasa za Tanzania ambazo zimepigwa marufuku kwa miaka minne sasa ni mshikamano miongoni mwa viongozi wake na kuondoa uoga (NO HATE NO FEAR), mbinu za kisasa za kufanya siasa ambazo zimeamsha wananchi kote nchini kutambua haki zao , kwa kipindi kirefu sasa ni wabunge wa upinzani pekee wenye uwezo wa kuitisha mikutano ya hadhara japo ndio walengwa wakuu wa mabomu ya Polisi , Uchunguzi mpya umebaini kwamba Jeshi la polisi nchini Tanzania limekamata zaidi wanasiasa wa upinzani ( hasa Chadema ) kuliko lilivyokamata wavuta bangi na majambazi kwa kipindi cha miaka minne iliyopita ( hii ni rekodi ya dunia )

Cha kushangaza sasa wabunge waCCM ambao wanalindwa na kuheshimiwa na jeshi la polisi hawajawahi kuwa na uwezo wa ushawishi wa kuitisha mkutano hata wa nyumba kumi tu ! hawajawahi kuwa na hoja wala kuwa na mvuto wa kushawishi hata watu wa 5 wa kuhudhuria mkutano , kwa mfano wabunge kama Waitara , Mwakyembe au Mtolea hawana ushawishi wowote kwenye majimbo yao kiasi hawawezi kuitisha hata kikao cha kujadili harusi ya mtu na ikafanikiwa .
 
Huku Zanzibar wamekuja na mbinu ya kutoa vipande vya u Zanzibar ili kuwanyima wananchi haki ya kujiandikisha katika book la wapiga kura.

Ccm Zanzibar huku pia wameshindwa kuwashawishi hata watoto wao wa kuwazaa waipigie kura ccm, siasa zao mapinduzi daima, hakuna wimbo mwengine.

Haramu haiwezi kuishinda halal, yangu macho
 
Cha kushangaza sasa wabunge wa ccm ambao wanalindwa na kuheshimiwa na jeshi la polisi hawajawahi kuwa na uwezo wa ushawishi wa kuitisha mkutano hata wa nyumba kumi tu ! hawajawahi kuwa na hoja wala kuwa na mvuto wa kushawishi hata watu wa 5 wa kuhudhuria mkutano , kwa mfano wabunge kama Waitara , Mwakyembe au Mtolea hawana ushawishi wowote kwenye majimbo yao kiasi hawawezi kuitisha hata kikao cha kujadili harusi ya mtu na ikafanikiwa .
Samahani mkuu Erythrocyte kwa hili jibu ya aya yako hapo juu.

Jibu ni: lakini ndio watakaokuwa washindi katika uchaguzi ujao!

Hili ndilo tatizo kubwa linalohitaji ufumbuzi wake haraka sana kati ya sasa na wakati huo.

Nini mta'do'?
 
Siri ya Upinzani kupenya kwenye siasa za Tanzania ambazo zimepigwa marufuku kwa miaka minne sasa ni mshikamano miongoni mwa viongozi wake na kuondoa uoga ( NO HATE NO FEAR ) , mbinu za kisasa za kufanya siasa ambazo zimeamsha wananchi kote nchini kutambua haki zao
Mkuu Erythrocyte, kwavile siasa ni mapambano, hakuna kitu kizuri kama kujifariji na hopping for the best kuwa upinzani unakwenda kushinda uchaguzi ujao, ila pia wenzetu Wazungu ni wazuri kwa kuangalia mbali hivyo kwenye msemo wa kujifariji wa "Hope for the best" ameongezea na kijimsemo
" prepare for the worst" ili ukikosa hiyo the best you are hopping for, uwe tayari kupokea the opposite na usiathirike kisaikolojia.

Hivyo mimi naomba kukuandaa kisaikolojia, kinachokwenda kutokea kwenye uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.

Pigo la mwisho kwa upinzani 2020 ni hili
P
 
2020 watu hawatojitokeza kupiga kura Kama ilivyotokea 2010 hii NI kutokana na watu kuwa na fikra ya kwamba hata wakifanya maamuzi katika sanduku bado hayatoheshimiwa

Ila hiyo kasi uisemayo sidhani Kama inamnufaisha mwananchi moja kwa moja hiyo

Sanasana kila sehemu wananchi wanalia ugumu wa maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ugumu wa maisha wa sasa ni kipindi cha mpito tuu, good things are coming. Kinachofanyika sasa ni kama kutembeza tuu bakora nchi inyooke kama kumrudi mtoto mtukutu, faida ya bakora ataiona baadae.
Tunajenga Tanzania ya viwanda, Tanzania ya uchumi wa gesi, Tanzania ya uchumi wa kati, tunakwenda kuwa donor country, mabomba nchi nzima yatatoa maziwa na asali.

😛😛😛
Mkuu keshasema kuwa gesi tumepigwa, hata yeye mwenyewe amejaribu kutunishiana misuli na mabeberu lakini ameona ngoma ni nzito.

Sisi wakaazi wa chato pekee ndio tutapata uchumi wa kati, ninyi wengine mlioko nanjilinji, igulumbilo, bunazi n.k mtapata uchumi wa pembeni.

Kuhusu viwanda, mlimnukuu vibaya mheshimiwa, serikali haifanyi biashara isipokua kwenye 'midege', hapo 'sisi ndio wataalamu'.
 
View attachment 1334769

Pamoja na juhudi zake binafsi , za serikali anayoiongoza na za chama chake za kuunda kesi za kizushi dhidi ya Wapinzani wake wa kisiasa kwa kushirikiana na ofisi ya DPP pamoja na Jeshi la Polisi huku wengine akiwafunga jela, lakini bado ameshindwa kuumaliza upinzani na sasa amekiri hadharani kwamba hali ya CCM si shwari huku akiunadi hadharani upinzani kwamba una nguvu kubwa ambapo amewaomba viongozi wa chama chake kutobweteka.

Siri ya Upinzani kupenya kwenye siasa za Tanzania ambazo zimepigwa marufuku kwa miaka minne sasa ni mshikamano miongoni mwa viongozi wake na kuondoa uoga (NO HATE NO FEAR), mbinu za kisasa za kufanya siasa ambazo zimeamsha wananchi kote nchini kutambua haki zao , kwa kipindi kirefu sasa ni wabunge wa upinzani pekee wenye uwezo wa kuitisha mikutano ya hadhara japo ndio walengwa wakuu wa mabomu ya Polisi , Uchunguzi mpya umebaini kwamba Jeshi la polisi nchini Tanzania limekamata zaidi wanasiasa wa upinzani ( hasa Chadema ) kuliko lilivyokamata wavuta bangi na majambazi kwa kipindi cha miaka minne iliyopita ( hii ni rekodi ya dunia )

Cha kushangaza sasa wabunge waCCM ambao wanalindwa na kuheshimiwa na jeshi la polisi hawajawahi kuwa na uwezo wa ushawishi wa kuitisha mkutano hata wa nyumba kumi tu ! hawajawahi kuwa na hoja wala kuwa na mvuto wa kushawishi hata watu wa 5 wa kuhudhuria mkutano , kwa mfano wabunge kama Waitara , Mwakyembe au Mtolea hawana ushawishi wowote kwenye majimbo yao kiasi hawawezi kuitisha hata kikao cha kujadili harusi ya mtu na ikafanikiwa .
Magufuli anaweza akawa si mwanasiasa mzuri ila ni mtafuta kura hatari! Kumbuka nilikuwa nakueleza kila wakati mbinu rahisi ya kushinda mpinzani wako ni kumsifia ili ajisahau. Hapa mmepigwa bao la kwanza. Nawahurumia sana sijui mpaka matokeo ya kura yatoke ni mabao mangapi mtakuwa mmepigwa.
 
Mkuu Erth hiyo picha hapo juu ina uhusiano gani na huu uzi wako? Lengo lako lilikuwa ni kuweka hiyo picha au umeiweka kwa bahati mbaya?
Hapo wako Nairobi kwenye kikao na makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu hayuko pichani.

Mjadala ukinoga ndio ataanza kushusha picha za mkutano moja baada ya nyingine!
 
Mkuu Erythrocyte, kwavile siasa ni mapambano, hakuna kitu kizuri kama kujifariji na hopping for the best kuwa upinzani unakwenda kushinda uchaguzi ujao, ila pia wenzetu Wazungu ni wazuri kwa kuangalia mbali hivyo kwenye msemo wa kujifariji wa "Hope for the best" ameongezea na kijimsemo
" prepare for the worst" ili ukikosa hiyo the best you are hopping for, uwe tayari kupokea the opposite na usiathirike kisaikolojia.

Hivyo mimi naomba kukuandaa kisaikolojia, kinachokwenda kutokea kwenye uchaguzi wa 2020 ni CCM only and only CCM!.

Pigo la mwisho kwa upinzani 2020 ni hili
P
Ukijaribu kudadisi na kuupata ukweli wa Sirro kuandika barua ya kujiuzulu utarekebisha maandiko yako mengi unayoyaweka humu
 
Sawa, ila sioni kitisho cha urais wa Magufuli na hiyo picha. Labda uniambie katika hao wawili kuna atakayegombea urais, na Magufuli anamuogopa.
Wakati mwingine wapanga mikakati siyo wagombea , kwa mfano ile ofisi ya muda ya masaki iliyobadili mil 3 unusu kuwa mil 8 ilikuwa chini ya january na Kinana ambao hawakuwa wagombea unaikumbuka ?
 
Back
Top Bottom