Kilichomfanya Magufuli kukengeuka na kuanza kuwaogopa Wapinzani hiki hapa

IMG_2546.JPG
IMG_2545.JPG
IMG_2544.JPG
hawa ndio watawala wa Zanzibar,Sultan’s,sioni uchotara
 
Ndugu pamoja na kujiaminisha kwamba CCM wana hofu lakini ndio watakaoshinda. Nafikiri cha muhimu ni kujiandaa kushindwa au kuwa 'na mbinu mbadala.
kingine kilichomtia shaka Magufuli ni kuondolewa kwa Wasaliti aliotaka kuwatumia kuivuruga Chadema baada ya makubaliano maalum
 
Hivyo vyombo vya usalama vyote ulivyovitaja vipo chini yake. Yeye ndie Amiri jeshi mkuu. Kama vinakubalika basi anaongoza vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tafsiri yako mbovu. Unajuwa kuwa katiba imempa madaraka makubwa naye kayatumia vibaya madaraka hayo. Kwenye uteuzi unadhani Mabeho alikuwa anastahili kumzidi Mwakibolwa kwa CV? Ukiwa na ubongo wa samaki huwezi nielewa
 
Kwani wakati Mwamunyange ni CDF nani alikuwa chief of staff. Au unaleta lawama za kwenye vijiwe?
 
Huu ugumu wa maisha wa sasa ni kipindi cha mpito tuu, good things are coming. Kinachofanyika sasa ni kama kutembeza tuu bakora nchi inyooke kama kumrudi mtoto mtukutu, faida ya bakora ataiona baadae.
Tunajenga Tanzania ya viwanda, Tanzania ya uchumi wa gesi, Tanzania ya uchumi wa kati, tunakwenda kuwa donor country, mabomba nchi nzima yatatoa maziwa na asali.

P
Very sarcastic 😀😀
 
Nime Bold kwenye uchumi wa gesi lwa sababu huyu Jiwe haongelei kabisa na wala haamini kuhusu gesi asilia. Kwenye awamu ya 4, nakumbuka Prof Muhongo alituaminisha kuwa kwa gesi iliyopo Mtwara na Lindi, Tanzania inakwenda kuwa nchi tajiri kama zile za Middle East. Alipokuja huyu Jiwe akaponda na kuamua kwenda kukata miti kwenye pori la akiba la Selous. Miti iliyokatwa inafikia ukubwa wa eneo la Mkoa wa Dar es Salaam.

Kama yeye anaweza ku abandon Single Handedly mradi uliopitishwa na Baraza la Mawaziri la Awamu ya 4, haoni kuwa Rais atakayekuja Awamu ya 6 ataifukia kabisa miradi yake aliyoanzaisha yeye single handedly kama Stiglers Gorge Hydro power na SGR ya kwenda Rwanda?
 
Kwa mujibu wa Pascal Mayalla , baada ya Magufuli ni Makonda kwahiyo bila shaka miradi yote ya sasa itaendelezwa
 
Taarifa za ndani zinaonyesha makonda amekwisha fall out na Jiwe. Yupo yupo tu kwa sababu ya sir za uchafu walioufanya pamoja lakini he is no longer his favourite na amemdhibiti kiasi fulani. Huu ukimya wa Makonda toka aliponyimwa mkono pale JKN Conference Centre kwenye uzinduzi wa kitabu cha Mkapa speaks a lot about mahusiano ya hawa infidels wawili.
 
Back
Top Bottom