Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

Kunanyimbo za kututia matumaini zinzpigwa. Watu wanapangwa kwajili ya kupokea viongozi. Jaman watu ni wengi sn. Hewa haitotosha bada ya nusu saa watajaa sana
 
NMC imetapika nashindwa kufika katikati ya kiwanja.hii ni salamu kwa magamba.
 
Sawa mkuu,
Roho inadunda, namimi naelekea viwanja vya Mukendo, V. Nyerere anakamua hapo!!
Wewe usiogope utapata video, picha kama kawa bado matukio hayaanza hivyo ni updatea za kawaida tu mkuu. Jamaa wa Arusha wapo full magazine, ni mwendo wa kukamua tu.
 
Tupo kwenye maombolezo jamani. Mambo ya mikutano tena yanatoka wapi?

maombolezo ya nini lijao?? Bigwa mtharica kafa mchumi wa dunia sembuse mbongo mganga njaa,washamaliza safari zao hao let them RIP,maisha yanaendelea!
 
Viva Chadema, wana wa meru tunakuja kusuport sababu tunatambua umuhimu wenu katika kuliondoa jini CCM MERU.
 
jamani vipi huko A-Town mbona kimya?. tv kimya, redio kimya tupeni raha wenzenu kwanI tunahamu ya kujua kinacho endelea.
 
Thanks mlioko Arusha kwa kutupatia live updates.Nami nimekaa hapa naangalia taarifa zenu za kanachoendelea hapo viwanjani.
 
Nina hamu sana ya kusikia tamko la Makamanda wakuu wa CHADEMA kuhusiana na hukumu ya Kesi ya Mhe. Godbless Lema kama Chama kitaamua kukataa rufaa ama vipi. Maana magazeti ya leo yametonya kwamba kuna WANASHERIA WAMESEMA HUKUMA HIYO KUNA VIFUNGU VIMEJICHANGANYA na hivyo yaelekea kesi hii ina utata katika hukumu yake.

Tunasubiri.

mkuu hebu fanya edit kwenye post yako. pamoja sana.
 
Back
Top Bottom