Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,495
- 2,251
Termination was unfair completely na terminal benefit hawajalipwa kikamilifu bado wanamadai yao mengi tu kama wakifile labour( idara ya kazi).
Kwanza kabisa napenda nikwambie kile kilichoainishwa na ELRA ni minimum standard ikiwa imetowa mwanya wa co.husika kuweka na kuandaa kitu kinachoitwa Collective and Bargaining agreement kati ya mwajiri na mfanyakazi kupitia chama chao cha wafanyakzi ( kama itakuwa TUICO au CHODAWU).
Hivyo kuwapa malipo ya miashaha ya miezi mitatu na mishahara mingine kulingana na miaka mfanyakazi aliyofanya kazi hiyo inatokana na CBA yao inavyosema wala siyo upendeleo.Soma kifungu cha 41(2) (3) cha ELRA
Pili ukisoma kifungu cha 42 (2) (a) & (b).Hivy hawa jama hawajalipwa Severance Pay kama sheria inavyoelekezwa.
ukienda mbali zaidi hawa jama wanawezakufungua kesi kuwa ule mshahara wa notice waliolipwa wamekwata statutory deduction i.e NSSF au PPF? kama mwajairi hajafanya hivyo yupo liable before the law.
Jamani hiyo minimum standard ndio SHERIA! ndo maana halisi ya sheria ni minimum standards, kama kulikuwa na Collective Agreement naomba muibandike humu, otherwise ni hadithi hizo.
Kwa hiyo mtu aliyefanya kazi mwaka mmoja anahitaji apate malipo ya siku saba.42(1) For the purposes of this section, ''severance pay'' means an
amount at least equal to 7 days' basic wage for each completed year of
continuous service with that employer up to a maximum of ten years.
Aliyefanya kazi miaka miwili siku 14 and so on...
Zain wamekamilisha hili, na zaidi. Wangeamua kufuata sheria watu wangechanganyikiwa nadhani.
(a)Wamewalipa severance pay wote walifanya kazi zaidi ya mwaka, so wamekamilisha hili.42
(2) An employer shall pay severance pay on termination of emplo-
ent if-
(a) the employee has completed 12 months continuous service
with an employer; and
(b) subject to the provisions of subsection (3), the employer ter-
minates the employment
(b) Wameterminate employment based on operation requirements, wamekamilisha hili.
Sasa sijui unataka walipwe nini tena? Au labda utueleze ni wapi Zain wamevivunja hivo vifungu vya sheria?
Kama hao wafanyakazi walikuwa na chama cha wafanyakazi na Zain walikuwa na makubaliano tofauti na hicho chama basi mtuwekee humu hayo makubaliano, otherwise sioni ubishi uko wapi.
Tukumbuke kuwa uwezo wa kuwaajiri na kuwafukuza wafanyakazi ni muhimu sana kwenye dunia yenye ushindani mkali, kampuni lazima iwe "flexible".