daah hili linaukweli hata siku ya uhuru wa Tanganyika hakutoa hatuba kabisa na sikuile ya kuapishwa hakuongea kama kawaida yake yaani ukifatilia utagundua siku hizi hachongi sana ilaelekea hana amani moyoni mwake
walichokuwa wana kifanya na wana binu haya matatizo yataisha pale tu tutakapo kuwa na katiba mpya na mawakala kila kituo...mimi nilikuwa mmoja wa mawakala wa CDM wakati tunahesabu kura zilizidi mbili yaani ukihesabu kwenye vichina na zilizoko kwenye sanduku, tulitumia muda zaidi ya saa moja tunarudia kuhesabu yaani kucompare zilizoko kwenye sanduku na kwenye vishina na sikupata jibu na wenzangu walioneka kutokuwa na jibu kwamba zimetoka wapi hizo kura mbili...hii inaimanisha nini? wana mbinu kiasi kwamba unaweza kuibiwa usijue umeibiwa kiasi gani ila ukajua umeibiwa na usijui ni mbinu gani imetumika sasa kujua ni mbinu gani inakupasa ufanye utafiti si kukurupuka kwa hiyo hizo figure zisikuchanganye iko siku zina weza kuja zingine lakini pointi ni kwamba Kikwete aliiba kura kuliko unavyo weza kutegemea.Humu humu JF mlitoa matokeo kuwa Slaa alishindwa kiduchu na JK. Leo mnasema alishinda which is which ? na nyie mlisema yale mliyotoa humu ndio yalikuwa ni ya uhakika kwani yalitoka kwenye vyanzo vya CHADEMA. Hapa kuna kitu wanataka kum fool slaa, asipokuwa makini atalishwa sumu halafu watu watamkana na ataonekana ni mtu asie makini.
Siku ya uhuru wa Tanganyika , huwa Rais hatoi hotuba fuatilia sherehe zote zilizo pita
Nani alisema? Yale matokeo yamewekwa na wana ccm wakijifanya ni wana chadema. Siku zote chadema walitoa kauli kuwa bado wana compile tusubiri. Nani anasema chadema walitoa matokeo? Si mnakumbuka mpaka zimeanzishwa thread hapa kumtukana Dr Slaa(Phd) kwa kutotoa hadharani matokeo? Muwe waangalifu!Humu humu JF mlitoa matokeo kuwa Slaa alishindwa kiduchu na JK. Leo mnasema alishinda which is which ? na nyie mlisema yale mliyotoa humu ndio yalikuwa ni ya uhakika kwani yalitoka kwenye vyanzo vya CHADEMA. Hapa kuna kitu wanataka kum fool slaa, asipokuwa makini atalishwa sumu halafu watu watamkana na ataonekana ni mtu asie makini.
Siku ya uhuru wa Tanganyika , huwa Rais hatoi hotuba fuatilia sherehe zote zilizo pita
Hata sasa ana hofu. Angalia tu alivyoongeza safu ya walinzi. Ahahahahahahahaha
Humu humu JF mlitoa matokeo kuwa Slaa alishindwa kiduchu na JK. Leo mnasema alishinda which is which ? na nyie mlisema yale mliyotoa humu ndio yalikuwa ni ya uhakika kwani yalitoka kwenye vyanzo vya CHADEMA. Hapa kuna kitu wanataka kum fool slaa, asipokuwa makini atalishwa sumu halafu watu watamkana na ataonekana ni mtu asie makini.
Siku ya uhuru wa Tanganyika , huwa Rais hatoi hotuba fuatilia sherehe zote zilizo pita
Tanzania Daima ni gazeti la CHADEMA; kama Uhuru lilivyo gazeti la CCM.
Dk Willbrod Slaa ndiye alieshinda kwa kiti cha urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchanguzi mkuu uliofanyika Oktoba 31 mwaka huu Tanzania Daima limeelezwa.
Taarifa za kuaminika kutoka kwa vigogo wa idara hiyo ya usalama waTaifa zinasema Dk Slaa aliekuwa akiwania kiti cha hicho kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) alishinda uraisi kwa kuzoa asilimia 64ya kura zote zilizopigwa kwa nafsi hiyo lakini kwa makusudi matokeo halali yalichakachuliwa kumpa ushindi Jakaya Kikwete wa chama cha Mapinduzi (CCM). Mtoa taarifa wetu kutoka ndani ya idara hiyo amelithibitishia gazeti hili kuwa mbali na kujizolea asilimia 64 ya kura zote zilizopigwa Dk slaa aliongoza kwa kupata kura nyingi kwenye mikoa 10 dhidi ya kikwete alieongoza kwa kura chache katika mikoa iliyosalia
Katika matokeo hayo yaliyovujishwa ndani ya siku tatu zilizopita inadaiwa kuwa kikwete alipata asilimia 27 tu ya kura zote zilizopigwa kwa nafasi hiyo ya urais huku asilimia 9 ya kura hizo ikienda kwa vyama vingine kikiwemo chama cha wananchi (CUF). Taarifa hizo ziliendelea kuwa matokeo ya urais yalibadilishwa katika hatua ya ujumlishaji wa kura kwenye majimbo mbalimbali ambapo pale Dk Slaa alipoongoza kwa kura nyingi sana kura hizo zilikuwa zikipunguzwa ili kukaribiana na zili za kikwete.
unajua kura hazikuibiwa vituoni, matokeo ya vituo karibu yote yalikuwa halali. Kura ziliibiwa katika majumlisho jimboni na na kwenye majumlisho yaliyofanywa na tume.
Na walitumia udhaifu wa mawakala wa chadema katika majumuisho kuhangaikia zile za ubunge tu na kujisahau kwenye urais. Kama wangekuwa makini katika majumuisho ya urais, maeneo mengi matokeo yasingebadilishwa sana.. alisema kigogo mmoja wa usalama wa taifa kwa sharti la kutotajwa jina lake. Matokeo zaidi ya urais yanaelezwa yalichakachuliwa katika majumlisho ya mwisho ya kura nchi nzima ambapo tume ya taifaya uchanguzi (NEC), inadaiwailipunguza kura za Dk Slaa hata zile zilizokuwa zimeshudiwa kwa pamoja na mawakala wa vyama vya pinzani.
Mfano wa majimbo ambayo kura zake zilibadilishwa dakika za mwisho na tume ni Ubungo, Musoma mjini, Mbeya mjini, Arusha mjini, Ilala, kawe, Geita, Kilombero, Moshi mjini, Tarime na Songea mjini Taarifa zaidi za matokeo hayo ya urais yanayodaiwa kuwa ndiyo halali na sahihi badala ya yale yaliyotangazwa na NEC, zilivujishwa na vigogo wastaafu wa usalama wa taifa ambao hawakutaka majina yao yaandikwe gazetini.
Hata hivyo, usalama wa Taifa ulikanusha vikali kuhusika katika kuchakachua matokeo ya urais mara baada ya Dk Slaa mwenyewe kutoa malalamiko yake kupitia vyombo ya habari
Haya Mods chomoeni na hii
Hizi habarii zina mshtuko mkubwa sanaa.........naogopa kuzitafakurii maana zinatisha...kuna docs zinapitishwa mtandaoni....kuonyesha kiwkete amepata 44.31 na Slaa amepata 44.26 sasa sijajuaa kama kweli ama la.....mikoa wamegawana JK ana 11 Slaa ana 10
Siku za mwizi ni arobaini!!!!!!!!!!!! Kikwete toka mwanzo amekataliwa na Mungu kwa sababu ametoa taifa hili kwa mashetani!!!!!!!!!!! Ushahidi ni ulinzi wa majini ya sheikh yahya husein na kuambatana kila mahali na wachawi na washirikina wasiopungua 100!Jambo hili ni chukizo kubwa kwa Mungu!!!!!!!!!!!!Mungu ni mwenye wivu-hawezi kumwacha adumu miaka mingi!! Sasa hivi anaonekana kutamba lakini mwisho wake w aibu na fedheha hauko mbali!!!!!Haya si matakwa ya mwanadamu bali ya Mungu!!!!!!!!!!!!! Shetani ni wa machafuko-ndiyo maana sasa hivi kila mahali ni fujo tupu!!!!!!!!!!!!Mzizi wa fujo hizi ni Kikwete-atakapoondolewa kwa mshindo mkuu majeshi ya mashetani yote yatatoroka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! na ndipo amani ya kweli itakaporejea katika taifa hili la Mungu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Dk Willbrod Slaa ndiye alieshinda kwa kiti cha urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchanguzi mkuu uliofanyika Oktoba 31 mwaka huu Tanzania Daima limeelezwa.
Taarifa za kuaminika kutoka kwa vigogo wa idara hiyo ya usalama waTaifa zinasema Dk Slaa aliekuwa akiwania kiti cha hicho kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) alishinda uraisi kwa kuzoa asilimia 64ya kura zote zilizopigwa kwa nafsi hiyo lakini kwa makusudi matokeo halali yalichakachuliwa kumpa ushindi Jakaya Kikwete wa chama cha Mapinduzi (CCM). Mtoa taarifa wetu kutoka ndani ya idara hiyo amelithibitishia gazeti hili kuwa mbali na kujizolea asilimia 64 ya kura zote zilizopigwa Dk slaa aliongoza kwa kupata kura nyingi kwenye mikoa 10 dhidi ya kikwete alieongoza kwa kura chache katika mikoa iliyosalia
Katika matokeo hayo yaliyovujishwa ndani ya siku tatu zilizopita inadaiwa kuwa kikwete alipata asilimia 27 tu ya kura zote zilizopigwa kwa nafasi hiyo ya urais huku asilimia 9 ya kura hizo ikienda kwa vyama vingine kikiwemo chama cha wananchi (CUF). Taarifa hizo ziliendelea kuwa matokeo ya urais yalibadilishwa katika hatua ya ujumlishaji wa kura kwenye majimbo mbalimbali ambapo pale Dk Slaa alipoongoza kwa kura nyingi sana kura hizo zilikuwa zikipunguzwa ili kukaribiana na zili za kikwete.
unajua kura hazikuibiwa vituoni, matokeo ya vituo karibu yote yalikuwa halali. Kura ziliibiwa katika majumlisho jimboni na na kwenye majumlisho yaliyofanywa na tume.
Na walitumia udhaifu wa mawakala wa chadema katika majumuisho kuhangaikia zile za ubunge tu na kujisahau kwenye urais. Kama wangekuwa makini katika majumuisho ya urais, maeneo mengi matokeo yasingebadilishwa sana.. alisema kigogo mmoja wa usalama wa taifa kwa sharti la kutotajwa jina lake. Matokeo zaidi ya urais yanaelezwa yalichakachuliwa katika majumlisho ya mwisho ya kura nchi nzima ambapo tume ya taifaya uchanguzi (NEC), inadaiwailipunguza kura za Dk Slaa hata zile zilizokuwa zimeshudiwa kwa pamoja na mawakala wa vyama vya pinzani.
Mfano wa majimbo ambayo kura zake zilibadilishwa dakika za mwisho na tume ni Ubungo, Musoma mjini, Mbeya mjini, Arusha mjini, Ilala, kawe, Geita, Kilombero, Moshi mjini, Tarime na Songea mjini Taarifa zaidi za matokeo hayo ya urais yanayodaiwa kuwa ndiyo halali na sahihi badala ya yale yaliyotangazwa na NEC, zilivujishwa na vigogo wastaafu wa usalama wa taifa ambao hawakutaka majina yao yaandikwe gazetini.
Hata hivyo, usalama wa Taifa ulikanusha vikali kuhusika katika kuchakachua matokeo ya urais mara baada ya Dk Slaa mwenyewe kutoa malalamiko yake kupitia vyombo ya habari
Haya Mods chomoeni na hii
Ukweli unabakia pale pale sisi hatukumchagua JK kuwa Raisi wetu.....sasa hii nchi anaiongoza kwa ridhaa ya nani?