MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Katika Toleo la Jumatano Julai 8-14 2009 katika Ukarasa wambele uliandikwa UDINI WATEKA BUNGE katika gazeti la MwanaHalisi.
Ndani ya habari hiyo ilisema" Tayari kunataarifa ya baadhi ya wabunge akiwemo mmoja mwananmke wamejipanga kukwamisha bajeti ya Waziri wa Maliasili na utalii, Shamsa Mwangunga kwa madai hayo hayo ya Udini". Na jana tulisikia Anna Malechela amekusudia kuikwamisha kwa kutumia Meno ya Tembo .
Jee Anna ndiye alietajwa na Kubenea au yupo mwengine. Ngoja Tuone Hoja ya mzee Kubenea
Halafu wewe ndiyo unafungua mada ya kulalamikia udini JF? Wakati thread zako karibia zote ni za kidini? This is no coincidence. Kuna watu either wametumwa au wameingia JF with ulterior motives fulani.