kilicho wakuta BONGO MOVIE bila KANUMBA Ndo nakiona kwa CHADEMA bila MBOWE

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Sep 29, 2019
1,317
1,229
Wasipo shtuka things will fall apart ?
Gap kuelekea uchaguzi ni Dogo Sana mkiruhusu tamaa ya madaraka miongoni mwa member wenu sitoshangaa 2020
Ubao ukisoma CCM 88.8% : CDM 3.7%

Naona mmeanza kuruhusu mianya kisa uenyekiti
Hii haikufaa ifanyike muda huu sijui hicho chama hakuna washauri!!!

Kwanini hilo lisifanyike baada ya uchaguzi mkuu?

Msijesema sikusema
 
Back
Top Bottom